Mume kama huyu je ni Mume bora

Mume kama huyu je ni Mume bora

Labda baba wa nyumbani, hana kipato, hata hivyo mme ni kichwa cha nyumba. Huenda limbwata
 
Kama ni kusaidia mara moja moja sio mbaya mbonaa??
 
Mtoa hoja, kama ni siku moja tu au mke anaumwa hangetoa haha huenda ni kitu endelevu
 
Jambo haliwezi kuwa baya kama akili yako haijalifikiria kwa ubaya.
 
Ivi akili ya mwanaume wa kiumeni kabisa inakuaga wapi, mpaka mutu unafamyiwa yote ayo, aseehh uku kwetu ukuryiani unatengwa kabisa, na ikipikwa kuku unapewa miguu,.. Eii!!
 
Back
Top Bottom