Namuweka katika group la mamalia.Mambo vipi
Mume kama huyu anae amka asubuhi kutaarisha watoto na kupika chai kupiga pasi nguo za watoto kuwaandaa kwenda Shule .
Wife kalala
Mume kama huyu je ni Mume bora au wewe kwa mtazamo wako unamuweka katika Group lipi ?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] ndo walishaniwahi mkuu, labda tutafute tafute tutampata eti baba!!Umenikosha kweli kweli sijajua kwa nn mm nisingekuoa ww malkia wa nguvu nilichelewa wapi mm jaman[emoji134] [emoji134]
misheni town afanyeje sasa .Kama na pesa anazo ni best mume
Kumbe ni wewekama wewe
Leo umetoa point kapeaceZoba na mwanaume halelewi ivo jamani mwanaume kumfanya km houseboy, mume ana heshima yake kumbuka mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu na sisi tuliumbwa kwa ubavu wa mwanaume sasa dume kulifanya ivo ukweli ni kumtukana Mungu na utalipia dhambi hiyo
Siku ingine natoaga pointless, kuna wakati hatutakiwi kushindana na asili, huo ndo ukweli asante kwa ukubali wako mkuuLeo umetoa point kapeace
Kapeace kuna muda natamani nikutangazie ndoa..!Zoba na mwanaume halelewi ivo jamani mwanaume kumfanya km houseboy, mume ana heshima yake kumbuka mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu na sisi tuliumbwa kwa ubavu wa mwanaume sasa dume kulifanya ivo ukweli ni kumtukana Mungu na utalipia dhambi hiyo
Wajanja washawahi seat mkuu na wamenikatia tiketi ya milele hahaha jaribu tena mbinguni, [emoji12]Kapeace kuna muda natamani nikutangazie ndoa..!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe mtafuta hbmisheni town afanyeje sasa .
Umefanya kwa mapenzi ni nzuri hata wangu namruhusu tu na huwa ananisaidiaNina mwanangu wa kiume napenda sana kumuongesha na kula nae niwapo nyumbani, regardless mdada wa kazi yupo au mamake
That won't be fare at all, and am doing this for my son, if it could be tha daughter it could be smhw difficult! !Umefanya kwa mapenzi ni nzuri hata wangu namruhusu tu na huwa ananisaidia
Sasa kuna ile unapewa ratiba ukitoka kazini sharti umuogeshe mtoto, usipomuogesha unafokewa na mkeo km anavyofoka kwa wasaidizi wake hapo home