Mume kama huyu je ni Mume bora

Sio mume bora kabisa,yaani mimi nawajibika na watoto yeye amelala?mimi ni muafrika nimelelewa kiafrika na mke wangu lazima aishi kiafrika..
 
Sio mume bora kabisa,yaani mimi nawajibika na watoto yeye amelala?mimi ni muafrika nimelelewa kiafrika na mke wangu lazima aishi kiafrika..
Na uafrika ndo uasilia wenyewe hasa ukilinganisha historia ya biblia
 
Zoba na mwanaume halelewi ivo jamani mwanaume kumfanya km houseboy, mume ana heshima yake kumbuka mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu na sisi tuliumbwa kwa ubavu wa mwanaume sasa dume kulifanya ivo ukweli ni kumtukana Mungu na utalipia dhambi hiyo
Nimekupenda bure ila sijui kama chura ipo!
 
Nimegondua kitu alieleta mada ndio anafanya yote hayo kwa mkewake kwakua mke ndio ameweka msimamo huo ukitazama jamaa lenyewe limetokea bara halafu anaishi namtoto wakitanga? Hayo nimachachetu ametufikishia anamengi yamebakia moyoni.
 
hapana huyo sio mume bora,so mpige kibuti then tafute asiyefanya hayo mambo then leta mrejesho
 
Kama anafanya hivyo kila siku na mkewe hana tatizo lolote kiafya, huyo sio mume bora ila mume bwege!
 
Back
Top Bottom