Mume kama huyu je ni Mume bora

Mume kama huyu je ni Mume bora

Yaan kapeace hata ukisema leo tuende mbinguni tukaoane na kuna uthibitisho inawezekana kuishi kule mm faster nasema naenda kukusubiri kulekule
Eti eeh!! Ngoja nitafute watu wasiojulikana, utaanza ww hlf mi ntamalizia sawa??? Angalia usiwe samsoni
 
Mambo vipi

Mume kama huyu anae amka asubuhi kutaarisha watoto na kupika chai kupiga pasi nguo za watoto kuwaandaa kwenda Shule .
Wife kalala

Mume kama huyu je ni Mume bora au wewe kwa mtazamo wako unamuweka katika Group lipi ?
Nyie ndio mnavunja ndoa za kaka/dada zenu
 
Aka mm Thomaso
Basi ngoja niwashtue
8d89fd09a437ceccdfaaf193c9de9ed9.jpg
 
Kuwahudumia watoto wako ni muhimu.
So aache watoto wawe wachafu na wasio nadhifu?
Mwanamke mwingine utaongea naye kila siku haelewi.
Ujinga wa mke isiwe adhabu kwa watoto
 
Mambo vipi

Mume kama huyu anae amka asubuhi kutaarisha watoto na kupika chai kupiga pasi nguo za watoto kuwaandaa kwenda Shule .
Wife kalala

Mume kama huyu je ni Mume bora au wewe kwa mtazamo wako unamuweka katika Group lipi ?
Hii habari mboni haijajitoshereza??!
 
Mambo vipi

Mume kama huyu anae amka asubuhi kutaarisha watoto na kupika chai kupiga pasi nguo za watoto kuwaandaa kwenda Shule .
Wife kalala

Mume kama huyu je ni Mume bora au wewe kwa mtazamo wako unamuweka katika Group lipi ?
Mkuu km ni ww unafanya hivyo vitu kila siku ACHAAAA!! Ubwege haujawahi kumuacha mtu salama.....tema mate chini kabisaaa na uache huo mtindo
 
Mambo vipi

Mume kama huyu anae amka asubuhi kutaarisha watoto na kupika chai kupiga pasi nguo za watoto kuwaandaa kwenda Shule .
Wife kalala

Mume kama huyu je ni Mume bora au wewe kwa mtazamo wako unamuweka katika Group lipi ?
Kweli haijulikani wanawake wanataka nn kabisa!
 
Zoba na mwanaume halelewi ivo jamani mwanaume kumfanya km houseboy, mume ana heshima yake kumbuka mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu na sisi tuliumbwa kwa ubavu wa mwanaume sasa dume kulifanya ivo ukweli ni kumtukana Mungu na utalipia dhambi hiyo
Hahahah! Good
 
Back
Top Bottom