Mume hanifikishi kisawasawa

ndo mana siku hizi siingiagi mmu,too much vishawishi,naogopa kutia ndoa yangu majaribuni.
copy: The secretary
 
Last edited by a moderator:
Maisha yanakamilikika na vitu vingi tu..hii nayo ni Historia ya maisha yako. Rejea kwenye IBADA
 
mto hoja yuko wapi, njoo ushukuru kwa ushauri bana
 
 
Acha umalaya we dada! Inaonekana unatabia chafu badala ukae uzungumze na mmeo unapanga ujinga! Miez6 ndo nn au unahamu upigwe tgo nn! Acha uku*m* 2lia lea watto fa*l* ww!
 
mh haya kwakua bibie kasema atatafuta huku huku watu hoi shemej akaiacha njoo kwangu xawa 1ukiona cha nini???

na kama subira ya vuta heri njaa nayo ingesubiri!!!!!!!!!
 
Umri mkubwa na majukumu ya kazi yanapunguza hamu ya tendo la ndoa,kama we ni mama wa nyumbani golkipa hauna majukumu mengine zaidi ya kudaka elewa mumeo majukumu yanaongezeka kila mwaka na jinsi umri unavyosogea hamu inakwisha kabisa,pia aina ya chakula anachokula usifikiri chips na mayai ya kuku wa kisasa yanaweza kuongeza virutubisho vya kudoo,
mjaribu siku moja mtafutie ugali wa muhogo na mbogamboga,matunda na nyama ya uhakika msubiri apumzike kidogo kama ni mywaji mpe castle milk stout mbili mbembeleze ukiweza vaa kanga moja pita jirani kwa mikogo usimueleze jambo lolote,mambo inakuja yenyewe sisi ndiyo wanaume tunakueleza
 
Hivi siri za chumbani kwako unaleta huku duh!
Kweli ndoa siku hiz haziheshimiwi kabisa
nyie ndo mnafanya watu ndoa sawa kifungo cha maisha!!!!!!!!
 

Inatokeaga especial kama ofisi anayofanya in masisterduu..........
Kama anatabia hizo hapo chini basi ujue kuna mdada kamtamani ofisini, anakuona wewe uvutii tena.
1. anawai sana kazini, na pia anajali sana uvaaji wake...yaani anajicheki sana kabla ya kuondoka home.
2. Kama ukimuongelesha hakuangalii usoni ujue anakustahi... maana akikiangalia anaweza akakujibu vibaya maana anapata hasira.

Ndo hayo tu kama unataka ushauri zaidi unitafute tu.
 
Pole sana! hilo tatizo wewe siyo wa kwanza nimewahi ku,experience kwa jamaa wangu wakaribu ambaye alikuwa anamfanyia mkewe kama unavofanyiwa wewe. aliniibia siri kuwa mzigo alikuwa ameuchoka na haoni jipya. nahakika ndicho kinachokutokea wewe sasa. Ila umenikuna kusema nundu imeongezeka maradufu, Manake ndiyo ugonjwa wangu yaani roho yote inadunda. Anyway ni pm kwa maongezi zaidi.
 
imaney ... Hapo kwa kumwambia mwenzio afanye hivi

"cha kufanya jikeep busy na watoto fanya mazoezi na mwili utachoka,hivyo na kasi ya kufanya mapenzi itapungua na kuendana na ya mumeo....."

Unatudanganya bana .. Nawezaje kupata sex satfaction kwa kuji keep busy lol.

Hakunaga mbadala wa hicho kitamu aisee.. Ha haaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Endelea kumpenda mpaka yesu ashuke then tutakushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…