Mume hanifikishi kisawasawa

Kulipiza kisasi sio maisha yanayotakiwa kati ya wanandoa,kwa sababu ukiamua kulipa kisasi utaiharibu ndoa yako mwenyewe na utakuwa unaitafuta aibu yako mwenyewe kwa sababu mara nyingi mwanamke aliyeolewa akiwa kicheche inakuwa gumzo mtaani na aibu kubwa kwani kila kona utaongelewa wewe tu,tofauti na wanaume ambao wao hata wawe wahuni kiasi gani huonekana kama ni kawaida sana.Cha kufanya jaribu kuwahusisha watu walio na miaka mingi kwenye ndoa,washenga wenu wa ndoa au hata wazazi na uwaeleze wasiwasi ulionao juu ya huyo mmeo waangalie watawasaidiaje,baada ya hapo ukiona tabia haibadiliki na ukijua chanzo ni nyumba ndogo unaweza kuachana naye kama waweza, kuokoa watoto wenu kwani siku hizi magonjwa ni mengi,na pi hata mwanzilishi wa ndoa yaani Mungu katk maandiko yake ameruhusu ndoa kuisha ikiwa mmoja si mwaminifu.
 
Wewe ni mwanamke wa aina gani? Kama ningekua Mme wako ningekuchapa kichapo cha Punda mpaka ukaacha kuniamrisha. Na tena ungejua nani alieoa na alieolewa. Ungejua tofauti ya mme na mke!!!
 
HAMIA AIRTELL!!!RAHA JIPE MWENYEWE,SIO LAZIMA MBOO, ANZA HIVI,Jipe mkono usiku mbele yake halafu zama mpaka ufike kileleni tena kwa kugugumia kweli,kama kweli ni kuchoka tuu,utaona response yake,nyege zinasumbua asikuambie mtu,tena na jitu umelala nalo eti limechoka loo,tupilia huko jihudumie mwenyewe,nje sikuruhusu maana kuna magonjwa,jichezee mwenyewe tena ukinogewa panua miguu mpaka umkanyage,akiamka we endelea mpaka utue mzigo,halafu unamwambia pole baby kwa usumbufu,uwiiMungu nisamehe,kwani nimejua ninafanya nini baby,daah,nisamehe nimepitiwa ni shetani tu!!!kesho tena piga mzigo mwenyewe!hahaaaa raha eeh!!!pole mi wangu dose yake ni noma,mpaka hua sitaki kuoga pamoja,maana akiona uko uchi tu anapiga mzigo,mpaka unawaza hivi nikiwa mbali itakuwaje walahi toba!!!mhh wanatofautiana kweli hawa watu,mpaka na mimi ashaniambukiza napenda ngono ka chakula,looh!!!
 
ongea nae .mbembeleze,mtegetege huko ndani maybe mvuto umepungua!
 
tatizo nako dar es salaam KUNA JAM mno....??? labda mwambie ajaribu kwenda ZANZIBAR AU TANGA
 
Mithali 14:1 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,
bali mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Wewe upo kwenye kundi gani?

 
kumbe wanawake wa kwenye ndoa ndo mlivyo?..sasa..kwa mfano ukatoka nje ya ndoa..then ukaja gundua mumeo hana nyumba ndogo utafanyaje?..mwanamke anawaza...pa fupi sana...
 
Evelyn Salt umenena neno zito sana hapo! Nina Imani Kama anaipenda ndoa yake basi ameshafuta mawazo ya kishetani aliyokuwa nayo!
 
Last edited by a moderator:
Oti kate, mimi ninachokushauri, ni kwamba ongea na Mumeo, na mwambie ukweli kuwa siku hizi Hafiki Dar anaishia chalinze, kulikoni? na mwambie kuwa kutokana na yeye kuishia huko chalinze kunakufanya ukose raha ya ndoa, maana ile sakalamenti takatifu huipati sawa sawa, tatizo ni nn? na Mwambie akuepushe na tamaa za mwili kwa sababu inapelekea kutamani kwenda nje. So akuepushe na shetani huyo usije ukavunja ndoa yenu, na Pia mwambie unampenda sana na hutaki kufanya hayo. Nakwambia reaction yake itakuwa kubwa kwa sababu ataogopa kuwa mpk umeamua kumwambia utakuwa umeumia sana.

N;B USITOKE NJE YA NDOA YAKO, UTAHARIBU NDOA, NA INAWEZA KUPELEKEA KUVUNJIKA KABISA NA KULETA MAGONJWA NDANI. VUNJA UKIMYA SEMA NAYE KINAGA UBAGA
 
Naomba mnisadies what to do at the moment!

Hueleweki kabisaaa .... ! Hujamueleza wala kuzungumza naye ... alafu uko huku Jf ... unatupigia story sisi. kwani sisi ndio mumeo? ... anyway! dont let me down for second alternstive .. niko hapa Pm ..!
 

Ukiona hivyo huyo jamaa yako keshaanza kuwa gay!
 
Hueleweki kabisaaa
.... ! Hujamueleza wala kuzungumza naye ... alafu uko huku Jf ...
unatupigia story sisi. kwani sisi ndio mumeo? ... anyway! dont let me
down for second alternative .. niko hapa Pm ..!
 
Wewe nadhani ushauri wako umepinda sana, japo naye sidhani kama yuko serious kutafuta ushauri wa jambo nyeti kama hilo humu ndani. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.

muonjeshe tigo atarudi kwa speed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…