Mume hanifikishi kisawasawa

Ningekupata wewe mbona ungefaidi kwa siku ungekula 4, kwenye wajenzi Hanna miti.
 
Nguvu za kiume ni kitu sensitive sana inawezekana mme wako amekula kitu fkani kikamdhuru sio kweli kama atakuwa na mtu mwingine maana kwa sisi wanaume tulivyo ukiduu sana ndio unakuwa strong zaid that means mme wako angekuwa na kidumu angepunguza mambo mengine ila angekuduu vizuri zaidi.....ushauri wangu jitahidi kumpa vyakula ambavyo vitampa nguvu zaidi ambavyo nadhani vingi unavijua na pia ongea naye kwa undani ajue unavyoumia atakuelewa mambo ya kutafuta wanaume hayatakusaidia utaleta matatizo kwenye familia yako na pia wanaume sasa ivi wengi watongozaji tu ila akipewa uwezo mdogo unaweza kutoka nje ukataman bora huyo uliyenaye we jitahid kumbadilisha uliyenaye
 

Hizi ndoa za monogamy ni mambo ya kizungu, ukijihisi ubantu umezidi uzungu bora umpe live, ndoa ishe na uendele na mambo yako. Nasisitiza ni bora kuvunja ndoa kuliko ku mcheat mwenzako.
 
Kweli sasa ilikuwaje hadi leo.

Swissme:
 
Mambo ya sweeming hayo! jiweke vizuri fanya mazoezi uwe fit halafu mpe mambo atarudisha moyo wake! inawezekana umekuwa mzembe kitandani akitaka we ni chali na kusema we niangusage tu!
 

Huyo tatizo lake 90% ana kadem cute sana kushinda ww kwaiyo kameharib saikolojia yake ya hisia za mapenz akifika kwako anaona kama kalala na mzee ndo maana ngoma inakuwa nzito kusimama,anabak kujitetea tu..mie ni ME imewai nikuta iyo...
 
Huyo tatizo lake 90% ana kadem cute sana kushinda ww kwaiyo kameharib saikolojia yake ya hisia za mapenz akifika kwako anaona kama kalala na mzee ndo maana ngoma inakuwa nzito kusimama,anabak kujitetea tu..mie ni ME imewai nikuta iyo...

Mna matatizo nyie...siku mkeo akichepuka unataka kumnyonga angali wewe ndo chanzo cha matatizo
 
Biashara n Matangazo, tumejua nw bambataaa ipo haya walipe mods pesa ya tangazo mkuu
 

Pole saana mdada ni kweli una uhitaji!!!
Ni PM ntakujuza nn cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…