Mume hanifikishi kisawasawa

nahic ana nyumba ndogo so vyote anavipata huko alikotoka ata ufanye nini atokuelewa na ata mic ukishika
 
Rudi tena kwa kungwi wako! La sivyo kanunue karoti nene sokoni.
 
Rudi tena kwa kungwi wako! La sivyo kanunue karoti nene sokoni.

heheheee umenichekesha karoti nene? mie nimeishika hapa job naitafuna watu wamenihsangaa kweli maana ni nenen kama tango.
 
kweli wewe mla kunde mara hii ushasahau ila mie muokota maganda siwezi kusahau looh haya bana, by the way kwani wewe taste ya chumvi na sukari unaipata au kuisikia wapi?
teh teh, mla kunde ndio nini tena?, mbona sikuelewi, by the way taste ya chumvi na sukari naipata au kuisikia kwenye mboga na chai respectively.
 
Jaribu kujichunguza wewe kwanza tofauti yako mlivyokuwa zamani na sasa....KITABIA...wanaume huwa wanasense sana kijitabia kidogo tu....kama ukiona uko sawa. muulize kwa utulivu. halafu pia siku akitaka mpe kwa utaalamu zaidi. Jaribu kumpa kama ndio unamuona kwa mara ya kwanza. Mwanamke unaweza kuboresha penzi lako hata akiwa kachoka kazini akataka tuuu...NA kama unahisi ana kanyumba kadogo fanya juhudi za kumzidi huyo nyumba ndogo....
kutafuta solution ya wanaume wengine ndio kujiongezea matatizo
 
teh teh, mla kunde ndio nini tena?, mbona sikuelewi, by the way taste ya chumvi na sukari naipata au kuisikia kwenye mboga na chai respectively.

kuna wimbo au msemo ulikuwa unasema hivi. '' wewe mla kunde umeshasahau, mimi mtupa maganda siwezi kusahau''. Maana yake wewe ulikuwa unakula starehe tuu maana hata taste ya kitu ulichouliza huikumbuki ila yule mtupa maganda kwa kuwa alifanya kazi ahwezi kusahau.
Nilitaka uelewe unakopata taste ya chumvi na sukari ndo huko utapata taste ya kitu ulichoniuliza. Kama hutaweza elewa na hapa basi nashauri jf founder aanzishe jukwaa la watoto na wewe uhamie huko maana huku tunaongea kikubwa na tunaelewana.
 
ndg, yaweza kuwa chanzo ni wewe au yeye. bt km ni ww yaweza kuwa umeacha kumheshm, umepungua sehem furan, humchangamkii km awal, au umenenepeana, cku hz labda hujpend, huna mzuka... kaa nae mtalk wote muwe waz kwel kwel dada angu akapme afya yake!!
 
Aisee, umefafanua vizuri lakini naona utanikomaza bure mtoto wa mwenzio.
 
nadhani umejaribu kuelezea hali halisi na namna unavyoumia, ni vyema ukakaa chini na mzee ukamweleza namna ambavyo hauridhiki na dozi anayokupa nadhani atakuelewa na kama alikuwa anaembea atajituma hata akikupa kwa wiki mara moja au mbili lakini ukaridhika nadhani itakusaidia kuliko kwenda nje kutafuta mwanaume wa kukuridhisha alafu ukaleta balaa ndani ya ndoa yako.
 
dada hapo umelikoroga. mambo haya humalizwa na nyie wawili na Mungu wenu, kama mnaye!!
 
Sii kweli bwana uzazingua mimi mbona nakupa mzuka wa kulidhisha mbona uanidhalilisha hapa. tanikoma nikija home leo


Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Maadamu umeomba ushauri wewe hakika ni mwanamke mzuri kweli naunaipenda ndoa yako saana tu maana umejaribu hata kuonyesha msimamo wako ndani ya nyumba yako(ndoa) sasa ushauri wangu ni huu kweli kuna kuchoka kwa majukumu maana siku hazifanani sasa jippange mshauri mzee mtoke kidogo outing waache vijana hapo nyumbani nenda hata mwaza/ zanji siku mbili tosha panda FASTJET bei ni nafuu kabisa kachague hoteli kali mnooo hakikisha mnakula mnashiba kabisa washa kiyoyozi chenu maana baridi ngoma inogile, mkiwa kama mlivyoumbwa utasikilizia moto wake utamsaahu kama ndio huyohuyo baba naniino.JARIBU.
 
cHONDE CHONDE USIENDE NJE YA NDOA UTAHARIBU KILA KITU MAANA KAMA HAKIKUSHTUKIA BAAASI WEWE YEYE KUFALA!!!:shut-mouth:
 
Pole sana sasa unaitaji msaada gani? Funguka usaidiwe..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
:A S-heart-2: ckiza we b mdogo kupigwa goli nyingi co ndo mapenzi ya ukweli muhim mwambie mumeo aboreshe hilo bao moja liwe la maana kuliko kupigwa out itakucost then utuombe tena ushauri fanya ivo bac mpenz.
 
mumeo ana umri gani? dah Mara nne kwa wiki mbona alikuwa anaoverperform!! ndio maana mashine imepungua kasi ghafla ulimtumia sana. ni kawaida sana kwa watu wenye umri mkubwa na wafanyakazi kuwa na issue kama ya mumeo. tafuta jinsi ya kujifurahisha na mumeo, sio lazima aingize ze dudu kule! im not convinced anacheat, kusanya minye.e yako kwa wiki mbili na umwambie akupe game moja ya maana japo mara moja kwa wiki mbili si mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…