Mume ashuhudia mkewe akichepuka

Mkuu inabidi niimarishe ulinzi, kuna kitu nimejifunza
Hawa wanawake hata uweke ulinzi gani ataliwa tu aliliwa Princes Diana na Dodi al fayed japo alikuwa na ulinzi,ulinzi wa kweli ni Mungu pekee na matendo yako pia ongeza upendo kwa mkeo uwe mwaminifu alafu mpe showkari mpaka apagawe hapo atleast utakuwa umeweza kulinda kwa asilimia 92 hivi
 
Nilimuuliza kwa nini alikuwa anamdhalilisha mumewe, jibu ni kuwa alitaka ampagawishe jamaa ampatie hela ya mradi
Yaani manamake bhana, unalioa vizur na kulihudumia mwisho wa siku linakuona kama msenge fulani hv.
 
Cha kukushauri: kamuombee msamaha kwa mumewe
 
eti nimeamua kumpiga chini ingawa hajaniambia kama ameridhia.

muache akafunguliwe biashara aendelee na maisha yake she cant stay sad forever hata kama kosa limeshatendeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…