Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,079
Black tea hii. Mi huwa situmii. Niletee maziwa huko!
Kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, hata nilipokuwa nachepuka naye nilikuwa makini sana
'mume wangu yuko safari, na jana mida ya saa nne usiku nilichepuka na mfanyabiashara y , wakati tupo kwenye tendo la ndoa, mr. alipiga simu na simu ilikuwa chini ya mto, kutokana na kupagawa na penzi nikajikuta simu imejipokea... na mr. akawa anasikiliza kwa njia ya simu mshindo unavyopelekwa, mbaya zaidi alikuwa anamtaja mr. wake hajawahi kumpelekea moto, kama jamaa anavyompelekea.''
kwa nini achepuke kwa watu wawili; nilitamani nimzabe vibao, lakini baada ya kutafakari nikajiona nami ni mwizi pia.