Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,264
- 55,862
- Thread starter
- #101
Alieimba bia tamu hakukosea mkuuUmejiondoa baada ya kujua mmepangwa, ila kabla ya hapo ulijua ni mke wa mtu na ukang'ang'ania.

ha ha ha hunitakii mema mkuuCha kukushauri: kamuombee msamaha kwa mumewe
😂😂😂 lakini mimi sio niliyekuwa nachochea kuni wakati ukimpigiaNgoja nirudi toka safari ntakutafuta adi nikupate huwezi tembea na mke wangu

😁😁😁😁😁 aya mkuuTatizo ni pesa, mi huwa ni bahili fulani hivi kwenye kuhonga; jamaa aliyekuwa naye, haonei huruma hela zake
ha hahahaUtajua hujui
Usiwaamini hawa viumbe, anaweza kukuambia yuko semina,ila anayoyafanya huko ni siri yake......Nilipofika "...kwa kuwa yeye ni mke wa mtu..." nikaacha kusoma na ujinga wenyewe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ni kweli, maisha ni kuchaguaeti nimeamua kumpiga chini ingawa hajaniambia kama ameridhia.
muache akafunguliwe biashara aendelee na maisha yake she cant stay sad forever hata kama kosa limeshatendeka.
Kweli inauma, alivyokuwa ananisimulia nilishikwa na hasira sana, ila nilivumilia kwa sababu sina hatimiliki kwakeSiku na wewe mkeo akiliwa ndio utajua uchungu wa hiyo kitu,, acheni kutembea na wake za watu wazee hujui mme wake amepitia mangapi kumtunza huyo mke.. hiyo kitu isikie tu inauma sana
Tatizo ni chura, zinatofautianaMi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanaume, madem ambao hawajaolewa wako lundo kila siku wanahangaika kupata wakuwatuliza,nyie mnawaacha na kwenda kwa walioolewa kwa nini lakini?
Wazinzi hawata........Wakuu habari?
Leo nimeingia mkoa ambao mchepuko wangu anaishi, ingawa anaishi umbali kama wa km 15 hivi kutoka hapa nilipo. Baada ya kufika nyumba ya wageni nilimjulisha ili aweze kufika kwa ajili ya kunipa kampani, Baada ya muda aliweza kufika, na tukaanza kuzungumza ingawa alikuwa na mawazo mengi.
Kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, hata nilipokuwa nachepuka naye nilikuwa makini sana, huku nikimpa heshima zote mumewe; kwa sababu kama angefukuzwa na mumewe hakuna sehemu ambayo ningeweza kumpeleka. Baada ya kufika, alionekana na mawazo mengi sana, akaniambia kuna kitu anataka aniambie ila anashindwa aanzie wapi! Mi nikampa uhuru pamoja na kumuondolea hofu,ndipo akaanza kunisimulia.
Ilikuwa hivi, anasema ''mume wangu yuko safari, na jana mida ya saa nne usiku nilichepuka na mfanyabiashara y , wakati tupo kwenye tendo la ndoa, mr. alipiga simu na simu ilikuwa chini ya mto, kutokana na kupagawa na penzi nikajikuta simu imejipokea... na mr. akawa anasikiliza kwa njia ya simu mshindo unavyopelekwa, mbaya zaidi alikuwa anamtaja mr. wake hajawahi kumpelekea moto, kama jamaa anavyompelekea.''
Mumewe akakata simu na kumtumia meseji nzito ya kumtukana; na hiyo meseji ya mumewe akanionyesha, kweli roho iliniuma sana, kwa nini achepuke kwa watu wawili; nilitamani nimzabe vibao, lakini baada ya kutafakari nikajiona nami ni mwizi pia. Ila akasema, ameona aniambie ukweli na yuko tayari kwa lolote. Na hapa alipo, amekimbia kwake anaishi kwa rafiki yake mmoja tangu ile jana usiku, kuhofia mumewe asije akatumia gunia la mkaa kumuangamiza.
Kwa hasira niliyokuwa nayo, ilibidi nipige shoo ingawa haikwenda kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na msongo wa mawazo; baada ya hapo nikampa ushauri; 'umetuingiza kwenye vita na mumeo, kwa hiyo naomba nikae pembeni ili niepushe msongamano, na ikiwezekana tumia njia zote unazojua, uombe msamaha kwa mumeo, maisha yaendelee'. Mbaya zaidi jamaa aliyekuwa naye jana, amemwambia achague mkoa wowote akaishi na atamgaramia kwa shughuli yoyote ya kibiashara.
Kwa kifupi, nimeamua kupiga chini, ingawa bado hajanijibu kama ameridhia.
Kama ungekuwa ni wewe, kwa hali hiyo ungechukua maamuzi yapi?
Mkuu, inauma sana kuona ladha unayoipata anapewa mtu mwingineBoss unamuonea wivu mke wa mtu?
Hawa si wakuamini mkuuRafiki yangu hujajua tu ila mkeo pia analiwa hivyohivyo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Akifanya hivyo hivyo anaweza kupoteza poteBaada ya hap0 akiend kwa huyo mchepuko mwingne atamsimulia kuhusu wew?
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Ujue na mkeo analiwa pia.Wakuu habari?
Leo nimeingia mkoa ambao mchepuko wangu anaishi, ingawa anaishi umbali kama wa km 15 hivi kutoka hapa nilipo. Baada ya kufika nyumba ya wageni nilimjulisha ili aweze kufika kwa ajili ya kunipa kampani, Baada ya muda aliweza kufika, na tukaanza kuzungumza ingawa alikuwa na mawazo mengi.
Kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, hata nilipokuwa nachepuka naye nilikuwa makini sana, huku nikimpa heshima zote mumewe; kwa sababu kama angefukuzwa na mumewe hakuna sehemu ambayo ningeweza kumpeleka. Baada ya kufika, alionekana na mawazo mengi sana, akaniambia kuna kitu anataka aniambie ila anashindwa aanzie wapi! Mi nikampa uhuru pamoja na kumuondolea hofu,ndipo akaanza kunisimulia.
Ilikuwa hivi, anasema ''mume wangu yuko safari, na jana mida ya saa nne usiku nilichepuka na mfanyabiashara y , wakati tupo kwenye tendo la ndoa, mr. alipiga simu na simu ilikuwa chini ya mto, kutokana na kupagawa na penzi nikajikuta simu imejipokea... na mr. akawa anasikiliza kwa njia ya simu mshindo unavyopelekwa, mbaya zaidi alikuwa anamtaja mr. wake hajawahi kumpelekea moto, kama jamaa anavyompelekea.''
Mumewe akakata simu na kumtumia meseji nzito ya kumtukana; na hiyo meseji ya mumewe akanionyesha, kweli roho iliniuma sana, kwa nini achepuke kwa watu wawili; nilitamani nimzabe vibao, lakini baada ya kutafakari nikajiona nami ni mwizi pia. Ila akasema, ameona aniambie ukweli na yuko tayari kwa lolote. Na hapa alipo, amekimbia kwake anaishi kwa rafiki yake mmoja tangu ile jana usiku, kuhofia mumewe asije akatumia gunia la mkaa kumuangamiza.
Kwa hasira niliyokuwa nayo, ilibidi nipige shoo ingawa haikwenda kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na msongo wa mawazo; baada ya hapo nikampa ushauri; 'umetuingiza kwenye vita na mumeo, kwa hiyo naomba nikae pembeni ili niepushe msongamano, na ikiwezekana tumia njia zote unazojua, uombe msamaha kwa mumeo, maisha yaendelee'. Mbaya zaidi jamaa aliyekuwa naye jana, amemwambia achague mkoa wowote akaishi na atamgaramia kwa shughuli yoyote ya kibiashara.
Kwa kifupi, nimeamua kupiga chini, ingawa bado hajanijibu kama ameridhia.
Kama ungekuwa ni wewe, kwa hali hiyo ungechukua maamuzi yapi?
Haya mambo usipokuwa makini mkuu, unaweza kufa masikini.Ukiwa unahonga sana wanakugeuza chuma ulete, kuja kushtuka uzee ndio huo, huna cha kujivunia😁😁😁😁😁 aya mkuu
Ukiweza kulishinda hilo pepo, utakuwa umefauluHuu mchezo nasemaga sintoendelea nao lakini najikuta nimerudia makosa yaleyale....nitakufa kifo kibaya sana
hawaaminiki hawa watuUjue na mkeo analiwa pia.
hawasemi uongo, michepuko ina style nyingi ambazo wife, hawezi hata nusu ya safari za uvinza, Shetani akileta mitindo hiyo ni lazima umwite wife malaya maana ataeleza kaziona wapi km ni mitandaoni basi alijaribu na naniNa sio kweli kuwa anamridhisha kuliko mumewe.
Wanasemaga tu hivi kuwasifia michepuko yao
Shetani ameteka watu sana