ndo hivo dadaangu, anapima siku ukimkamata au kuambiwa kuwa anagawa mali yako utafanyaje! thats it. trust me am a man too.ooooooooooooh mwenzangu ebu nipe moyo ndio unanikatisha tamaaa mwenzangu.......
Asante Best nishaanza uchukunguzi pole pole...Best huyo ana mtu na anajaribu kukutengenezea mazingira tu, sishangai kwa wanaume kuongea namna hiyo
Cz kuna jamaa alikuwa ananitongoza cha ajabu stahili zake zilikuwa ni za mifano, utasikia kwa mfano nikakuoa halafu ukasikia nina mtu au labda ni mtu wangu wa zamani utafanyaje.
Jamani nilimfukuzia mbali nikasema pumbavu una mtu wewe halafu unajaribu kunizuga mimi, kwa sababu alikuwa ndo anaanzisha uhusiano na mimi sikuona tatizo kumfukuza mtu huyo. Hivyo be care full fanya uchunguzi mpendwa.
wallah kwa haya maswali aloniuliza nilazima nijipange kwangu mimi kwa sasa mustaqabal wangu ni watoto wangu na maisha yangu sio yeye tena hata kama nampenda na alhamdulillah haja nizidi kete kua kila kitu changu niandike jina lakeBe strong and positive challenges zipo ukiwa firm atajua jinsi ya kujiheshimu ila ukideka na kuchekacheka hapo.......unaonesha weakness na ata temper na mustaqabal wa ndoa yako
wallah kwa haya maswali aloniuliza nilazima nijipange kwangu mimi kwa sasa mustaqabal wangu ni watoto wangu na maisha yangu sio yeye tena hata kama nampenda na alhamdulillah haja nizidi kete kua kila kitu changu niandike jina lake
hana chochote chenye jina lake,sasa akijaribu namuonea huruma atakua kachamba *****..
Nyumba ya kwangu sio yake ....
Nyumba ya kwangu sio yake ....