promiseme
JF-Expert Member
- Mar 15, 2010
- 2,706
- 934
Habari wana MMU,
Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'?
anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi?
au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake
zao au wapenzi wao.
naombeni mnisaidie kwenye hili waungwana...