Wanaume wapo ulipo chamuhimu upunguze maringo,jeuri,kujisikia na kiburi japo uwe na msimamo wa wastaniWakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Ahsante darling ngoja niendelee kujiandaa na ndoaUsifadhaike mpenzi, wewe ndio ulioko on the plate i have no more time to waste! Wanna put a ring on it ASAP!
Kweli hali si shwari lakini kuwa makini hata huko nje pia..watu ni walewale na tabia ndizo zile zile.Mtandaoni naogopa
Konki Liquid anakupenda, vipi upo tayari kwa ndoa?Si wote wachaguzi
Anapatikana kokote kule.. swali kwako ni je ww uko tayari kumpokea? Maana huja kwa njia nyingi na style nyingi.. je uko tayari akija kwa style usiyotarajia.?Wakuu hivi mwanaume aliyepevuka na tayari kuitwa mume anapatikana wapi? Kwenye kumbi za starehe or nyumba za ibada
Wanaume wapo ulipo chamuhimu upunguze maringo,jeuri,kujisikia na kiburi japo uwe na msimamo wa wastani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikuje inbobo kukupa mtongozo wa haja...Sijatongozwa mkuu