Nyamayao hujapata taabu maishani; Kua uyaone
usiingilie ndoa za watu. Je kama hao watoto mume kadanganywa na anajua si wake? au wewe ni mzazi wao?
Namuonea huruma huyo mdada.Kuna familia moja ambayo mama ndiye anayejua watoto wale nini,wasome wapi, wavae nini na waishi wapi kwa maana ya kwamba hadi pango mama ndio anayelipia kodi. Mume hana habari na hivyo vitu, yeye anachojua ni kumpiga tu mkewe usiku kucha na sio mara moja yani akikaa sana ni siku 2 au 3.
Mama anauza mboga ili kupata mahitaji ya nyumbani, huyo baba sijui kazi yake. Huwa anamwambia mkewe ampe pesa alizopata akigoma anampiga sana, anaweza kaa ndani hata siku 3 bila kutoka kwa maumivu anayopata. Siku akiamua anapiga wote hadi watoto.
Mimi namuonea huruma huyu mama, ni mtu mzuri sana hafai kuishi na mume mkatili kama huyo. Pia nawaonea huruma hawa watoto kwani ipo siku huyu baba atamuua huyu mama na watoto watabaki wakiteseka.
Mimi naomba wataokuwa tayari kutoa msaada niwape details ya hii familia inapoishi.
Natanguliza shukrani zanga!!!!!

Kuna familia moja ambayo mama ndiye anayejua watoto wale nini,wasome wapi, wavae nini na waishi wapi kwa maana ya kwamba hadi pango mama ndio anayelipia kodi. Mume hana habari na hivyo vitu, yeye anachojua ni kumpiga tu mkewe usiku kucha na sio mara moja yani akikaa sana ni siku 2 au 3.
Mama anauza mboga ili kupata mahitaji ya nyumbani, huyo baba sijui kazi yake. Huwa anamwambia mkewe ampe pesa alizopata akigoma anampiga sana, anaweza kaa ndani hata siku 3 bila kutoka kwa maumivu anayopata. Siku akiamua anapiga wote hadi watoto.
Mimi namuonea huruma huyu mama, ni mtu mzuri sana hafai kuishi na mume mkatili kama huyo. Pia nawaonea huruma hawa watoto kwani ipo siku huyu baba atamuua huyu mama na watoto watabaki wakiteseka.
Mimi naomba wataokuwa tayari kutoa msaada niwape details ya hii familia inapoishi.
Natanguliza shukrani zanga!!!!!
usiingilie ndoa za watu. Je kama hao watoto mume kadanganywa na anajua si wake? au wewe ni mzazi wao?
Tatizo lako Nyamayao unapenda sana watu wote wawe kama wewe.......hilo haliwezekani hata kidogo. Kumshangaa huyo mama hakusaidii sana, hivyo ndivyo alivyo kwahiyo unachotakiwa ni kutoa msaada.lakini huyu mama anajitakia, pole zake mana huyo baba ni mzigo mara mbili, yaani mtu tu aseme umpe pesa ambayo hajui umeisoteaje kwa ajili ya kuwatunza watoto wenu ucpompatia kipigo, jamani binadamu wengine hawauthamini utu wao kabisa, namtunzia watoto bado atoke uko anitwange mie na wanangu...haki ya nani kuna watu wamepata wanawake wa kuwachezea......