na mimi naweza kukwambia gari nzuri inaanzia mil 80.....my point is uzuri kila mtu ana tafsiri yeye,huko kijijini kwao nyumba aliyojenga kwa mil 8 ndio nzuri kuliko zote ataacha kusema kajenga nyumba nzuri???
sidhani kama hiyo itasaidia kumrekebisha!
Suala la kutembea na dada yake mbona hilo si kosa hata kidogo, mimi nawaona watu wengi tu wanatembea na watoto wao, wakwe zao, dada zao, shangazi zao na hata mama zao tena kila siku, na hivi ndivyo familia zansvyotakiwa kuishi kwa upendo na umoja na amani, mimi sioni kosa hapo labda ingekuwa KAZINI na dada yake hapo ndiyo laana kubwa sana, UZINZI NA UASHERATI ni DHAMBI.
Hapa kuna kauongo
mil. 30 = nyumba nzuri + gari + hela za kuleweya + pesa za kuhonga...............duuuu