Mume amenitenda

Ukitaka kumjua mtu mpe Pesa

Hebu jiweke pembeni kidogo akishamaliza uchafu wake uamue kuendelea nae au kuachana nae - maana kama hashauriki utakufa kwa maumivu ya moyo
 
Labda ufafanue hilo zali la m.30, huenda ni zali la mganga na masharti yake ndo hayo lazima alale na dada ake, tueleze hiyo hela mmeipatapataje?
 

kumkimbia si suluhisho, pambana hata kama mtafika kunako Court, isitoshe anatoka na dadaye ukiwa na ushahidi wa kushawishi vyombo vya dola mbona watakiona cha MTEMAKUNI. kwa uwezo wake Muumba atakusaidia tu bi-dada.
 
Pesa haimbadilishi mtu kitabia, Ila inasaidia kufichua tabia zake alizokuwa anazificha wakati hana hela. Pesa humpa mpumba.vu na mtu asiyejitambua kiburi cha kuonesha ujinga na upumbavu wake woote hadi ule wakuiga.

Ndio maana kuna watu hawapati pesa nyingi maana wakipata tu itakua ndio chanzo cha kuharibikiwa kimaisha.

Kwa nini tuiheshimu pesa kuliko utu wetu, pesa zi zinakuja na kuondoka, kwani pesa kwa zenyewe zina nini hadi tuziheshimu kuliko utu wa mwanadamu mwenzio??? Kwani si unaweza kufilisika hata kesho tu (iwe kwa kupenda au vinginevyo?) Pesa haina chochote kwa yenyewe. Furaha ya kweli ya mwanadamu huletwa kwa kuheshimu utu wake na wengine na kutambua yale madogo mengi yanayotokea maishani mwako. kama mtu akikununulia kitu cha 1,000 usifurahi usitegemee akikununulia gari utafurahi.... ikiwa hivyo utakua tu unafiki na kujipendekeza tu. we must appreciate the little ones we have or find so we may be entrusted with much and to rejoyce over them.

Dada pole sana, kwa kweli nimeumia. Hadi kuletewa ''mahawara ndani'' Huu ni unyama na kwa kwa dunia ya leo ilivyoharibika! . Jitafakari mara mbili.



 

wakulima
 
Million 30 mmenunuwa gari na kujenga nyumba! Ni kijiji gani hicho mnachoishi? Na hiyo gari ni Morris?
 
Hapa kuna kauongo
mil. 30 = nyumba nzuri + gari + hela za kuleweya + pesa za kuhonga...............duuuu

±±±±±±±±±±±
Akili za kuambiwa changanya na za kwako,griti sinker huyo.
±±±±±±±±±±±

Mmmmhhhh job true true I don't get the photo of kind of good house you built and kind of car you bought with that amount,bravo griti sinker.
 

milioni 30 tu.......au ndiyo masharti ya witch doctor kuhusu upatikanaji wa hiyo 30mil???
 
'katika shida na raha hadi hapo kifo kitakapowatenganisha?'..Ndivyo na Mungu anisaidie.

Ndoa ya kikiristo ni majanga!
 


Pole sana dada! Ila usichanganyikiwe!!Suluhu ya hilo tatizo lako ipo kwa Mungu tu!
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo,Zali la mil 30 bongo hii bila mpango Mjii ni ndoto,Jamaa kesha tembea kwa waganga wa kienyeji na wamempa dawa hiyo,,

Aina ya hiyo dawa yenyewe haiitaji mambo ya kuuwa mtu sijui kwa ajili ya kafara hapana,

Sema jiandae tu akitoka kwa Dada ake eidha atakae fuata ni Mama yako au Mama yake, Sikutishi bali ndio ukweli wenyewe huo
 
Pesa za mizimu(zali) mambo zake ndo hizohizo wewe kula jiwe tuuuu akugawie na gridi
 
Million 30 mmenunuwa gari na kujenga nyumba! Ni kijiji gani hicho mnachoishi? Na hiyo gari ni Morris?

Kalitu wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora kanda ya Magharibi nchi ya Tanzania
 

nawe usithubuju kulala na kaka yake mana wanawake huwa mwenzie akifanya hl nawe una plus najua mna watt 2lia mm huyo ni mwana mpotevu ipo sku ataelewa wa2weng huwa rimbuken wa pesa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…