Fatmata
Member
- Jul 22, 2013
- 66
- 34
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie