Mume akikuta meseji za mapenzi kwenye simu yako...

Kwa nini mwanamke akigundulika kuchepuka, divorce is processed..lkn mwanaume akigundulika/akifunaniwa, si mara nyingi divorce kutokea?
Natafakari maamzi ya kufanya lakini Divorce naona ipo nje nje. Ni leo tu nimeyafunua mazito nisiyoyoyajua kwa muda mrefu kwa mwanamke huyu. Sinaga msamaa kwa mwanamke anayepeleka kisima cha maji nje yakachotwe na mtu aiyejua gharama za matunzo yangu. Mtu anaacha mji anasafiri mikoa ya mbali kufanya ujinga kiss sipo. So valueless woman.
 
Kwa nini mwanamke akigundulika kuchepuka, divorce is processed..lkn mwanaume akigundulika/akifunaniwa, si mara nyingi divorce kutokea?
[emoji419][emoji419] tupate ufafanuzi yakinifu.
 
Kuna mdada fulan hiv but ni mke wa mtu nambanduaga mbaya

Tatizo la kwa nin anachepuka na mm,sababu ni kuwa mumewe hapendi kuzama chumvini na yy ndio ugojwa wake sasa

Siku akamfuma na text zangu sasa alikula kichapo yule mwanamke mpaka akalazwa but bado namshangaa alisajili mpaka na lini mpya ila akiinipa ile namba

Na mpaka leo abakuja gheto napakua mzigo anarudu kwa mumewe
 
Hadi ufumaniwe msg, huo ni uzembe wa aina gani!? Km hizo mambo m'mke hujui kuzicheza ni heri uweke kikojoleo chini. Maana hapo ndio utakuwa mwsho wa ndoa yako siku ukibambwa
 
Duh.. kumbe anafuata asichopata ndani ..
angalia kichapo kisijehamia kwako bro
Kuna mdada fulan hiv but ni mke wa mtu nambanduaga mbaya

Tatizo la kwa nin anachepuka na mm,sababu ni kuwa mumewe hapendi kuzama chumvini na yy ndio ugojwa wake sasa

Siku akamfuma na text zangu sasa alikula kichapo yule mwanamke mpaka akalazwa but bado namshangaa alisajili mpaka na lini mpya ila akiinipa ile namba

Na mpaka leo abakuja gheto napakua mzigo anarudu kwa mumewe
 
Kumbe kuna wanawake wasioziweza mambo hizi na wasioziweza.. mambo ya uzoefu..au siyo?
Hadi ufumaniwe msg, huo ni uzembe wa aina gani!? Km hizo mambo m'mke hujui kuzicheza ni heri uweke kikojoleo chini. Maana hapo ndio utakuwa mwsho wa ndoa yako siku ukibambwa
 
Hadi ufumaniwe msg, huo ni uzembe wa aina gani!? Km hizo mambo m'mke hujui kuzicheza ni heri uweke kikojoleo chini. Maana hapo ndio utakuwa mwsho wa ndoa yako siku ukibambwa
Teknolojia siku hizi na track tu namba napata kila kitu
 
hahahahaha lol! Chezeya utamu wa papuchi weye? Mandela aliwasemehe Makaburu kwa kundi ga na kumtesa kwa miaka 27 lakini alishindwa kumsamehe Winnie kwa kuugawa utamu wake kwa masaa machache tu 😜😜

Bora wee unalijua hilo....mandela kawasamehe makaburu waliomswenka jela miaka 27 lakini winnie alivyogawa papuchi tuu akasema mama bye bye...thats men for u in a nutshell!
 
Me siamini hilo la sim tracking naona uzushi tyuuh.
Ck hiz tukifuma txt hata hatutumii nguv nying, ni unakula kichapo ch kimya kmya uck na miti unapigwa af tunalala[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inategemea na uliye nae, yaan upewe kichapo na mkunyenge huu henyekee? Hapan kwa kweli haiwezkan kabisaaaaah. Mnuno mwez mzma ujue.
 
Kuna mdada fulan hiv but ni mke wa mtu nambanduaga mbaya

Tatizo la kwa nin anachepuka na mm,sababu ni kuwa mumewe hapendi kuzama chumvini na yy ndio ugojwa wake sasa

Siku akamfuma na text zangu sasa alikula kichapo yule mwanamke mpaka akalazwa but bado namshangaa alisajili mpaka na lini mpya ila akiinipa ile namba

Na mpaka leo abakuja gheto napakua mzigo anarudu kwa mumewe
Uwe unatembea na KY utakuja nishukuru kwa huu ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom