Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
We baba wewe...Nadhani Math19:7-9 itatutetea hakuna namna 😎😎
We baba wewe...Nadhani Math19:7-9 itatutetea hakuna namna 😎😎
Mama😜😜We baba wewe...
Umeamua kukomesha kabisa na uthibitisho wa kitabu kitakatifu eeMama😜😜
Msisitizo😎😎Umeamua kukomesha kabisa na uthibitisho wa kitabu kitakatifu ee
Haya baba umeshinda🥂Msisitizo😎😎
Ashakum si matusi!Unadhani kwa nini wanaume hawasamehi ?
Wewe unahisi hivyo tu? Mimi nipo mbali zaidi ya hapo! Sina lengo baya na waniwie radhi kwa kifuatacho: Kwangu mwanamke akiwa yumo ndani ya himaya yangu akichepuka tu siwezi kumshika popote. Kila nitakaposhika naona fulani naye alifanya kama hivi. Najiona kama nakula matapishi. Na matapishi siwezi kuwa nayo karibu. Sishiki popote! Sitompiga na sina hulka ya kupiga. Njia bora ni kutengana na kuendelea na maisha yangu.Wanaume tunajihisi tupo complete kiasi kwamba tunaamini tunamtosheleza mwanamke angle zote. By angle zote namaanisha kwenye ngono. Now inapotokea kumegewa inafanya tujione kumbe sisi siyo lolote na kila tulichoamini ni uongo.
Hali ya kujihisi hautoshi inatia hasira.
Wewe unahisi hivyo tu? Mimi nipo mbali zaidi ya hapo! Sina lengo baya na waniwie radhi kwa kifuatacho: Kwangu mwanamke akiwa yumo ndani ya himaya yangu akichepuka tu siwezi kumshika popote. Kila nitakaposhika naona fulani naye alifanya kama hivi. Najiona kama nakula matapishi. Na matapishi siwezi kuwa nayo karibu. Sishiki popote! Sitompiga na sina hulka ya kupiga. Njia bora ni kutengana na kuendelea na maisha yangu.
Daa hili jibu jamani ngoja nipigie na mstari kabisaSometimes ndani jotoo...bora watoke nje wapunge hewa,
Kopo lililo na asali la kwangu halafu kila mtu aonje utamu wake kwa kuchovya na kidole!? Nakuachia tu nenda nalo!Duh... unawaza zaidi na mbali sana..na ukiwaza hivo, mwanamke huwezi kumshika hata kidogo.
Je wewe ni mwaminifu mpaka inakupelekea wewe kushindwa kusamehe? Au ni kwasababu ni mwanaume?Wewe unahisi hivyo tu? Mimi nipo mbali zaidi ya hapo! Sina lengo baya na waniwie radhi kwa kifuatacho: Kwangu mwanamke akiwa yumo ndani ya himaya yangu akichepuka tu siwezi kumshika popote. Kila nitakaposhika naona fulani naye alifanya kama hivi. Najiona kama nakula matapishi. Na matapishi siwezi kuwa nayo karibu. Sishiki popote! Sitompiga na sina hulka ya kupiga. Njia bora ni kutengana na kuendelea na maisha yangu.
Swali ni zuri na maelezo ni kama yafuatavyo.Je wewe ni mwaminifu mpaka inakupelekea wewe kushindwa kusamehe? Au ni kwasababu ni mwanaume?
Sometimes ndani jotoo...bora watoke nje wapunge hewa,
Pole mekuNatafakari maamzi ya kufanya lakini Divorce naona ipo nje nje. Ni leo tu nimeyafunua mazito nisiyoyoyajua kwa muda mrefu kwa mwanamke huyu. Sinaga msamaa kwa mwanamke anayepeleka kisima cha maji nje yakachotwe na mtu aiyejua gharama za matunzo yangu. Mtu anaacha mji anasafiri mikoa ya mbali kufanya ujinga kiss sipo. So valueless woman.
Umenifanya nifungue Bible kujionea hiko kipande[emoji2]Nadhani Math19:7-9 itatutetea hakuna namna [emoji41][emoji41]
mpe haki yake akitoka nje ya ndoa ni tamaa zake tu....Kwanini wana ndoa hutoka nje ya ndoa zao
Wanawake wengi tu wanapata haki zao, lkn bado wanataka na nje, hadi wanafumaniwa kwenye simu na mienendompe haki yake akitoka nje ya ndoa ni tamaa zake tu....