The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,795
- 123,834
Mwanamke mmoja aliamua kumtembezea kichapo Mumewe baada ya kukuta mumewe huyo amekula chakula chote kilichokuwa Mezani kabla ya yeye hajakipiga picha chakula hicho kwa lengo la Kupost kwenye Instagram na WhatsApp.