Multiple selection second round

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
410
Reaction score
423
leo majina yametoka kwa walioapply second round.

Third round imeanza lep tarehe 24 hadi 26.

Angalie ujue una confirm au ni third round.
 
leo majina yametoka kwa walioapply second round.

Third round imeanza lep tarehe 24 hadi 26.

Angalie ujue una confirm au ni third round.
Naomba kuulza je n hayo yalotolewa na tcu kwamba n multiple au vyuo vinatoa
 
Majina ya second round walio Pata mbona cjaona msaada
yapo pale we fungua hiyo update inayoonesha second round then isome utaelewa.

kuna maandishi wameya-highlite kwa rangu ya blue utafungua hapo then utaweza kuyaona
 
yapo pale we fungua hiyo update inayoonesha second round then isome utaelewa.

kuna maandishi wameya-highlite kwa rangu ya blue utafungua hapo then utaweza kuyaona
Msaada mkuu ktk link ipi
 
Msaada mkuu ktk link ipi
utakuta link ziko mbili ambazo zote zinajieleza ..ambazo ni
1-hii link ni kwa wale waliochaguliwa second round (multiple)
2-hii ni kwa wale waliochaguliwa first round ila hawaja confirm
 
utakuta link ziko mbili ambazo zote zinajieleza ..ambazo ni
1-hii link ni kwa wale waliochaguliwa second round (multiple)
2-hii ni kwa wale waliochaguliwa first round ila hawaja confirm
niliomba second round maana first nilikosa mkuu sasa nimesaka siyaoni yako hayo ya multiple tuu
 
niliomba second round maana first nilikosa mkuu sasa nimesaka siyaoni yako hayo ya multiple tuu
mkuu nimekupata vyema sana ila wewe hujanielewa padogo sana

ukiingia ww.tcu.com utakuta updates tofauti tofauti ila update ya pili ni about selected students (waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja). Ukiisha kubofya hiyo update itafunguka na kuja page moja tu

Hiyo page itakayokuja inamaelezo ambayo utatakiwa kuyasoma vizuri. Vilevile hiyo page ina sehemu mbili zililo-be-highlighted in blue color,

Utafungua link ya kwanza ambayo ni majina ya waliochaguliwa katika round ya pili ya udahili then utaweza kutafuta jina lako, kama utakuwa umechaguliwa utaliona

Alternative rahisi mbali na hiyo ni kuingia katika account zako kayika vyuo ulivoapply uchek status ikoje
 
Nimeweka mkuu ila Wana sema tuu application received success full sasa select hawajaweka selected or not
usiwe na shaka kwa sababu nimesikia vyuo havijatuma majina yote TCU so tusubiri vyuo vitoe majina
 
Sawa mkuu maana third round mwisho ni kesho wangetoa mapama
sidhani kama itakuwa kesho maana kuna rundo la waliopata first round hawajaconfirm bado second round hawajaconfrim vilevile bado vyuo havijatoa majina kwa wanafunzi waliopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…