Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,228
Ila awamu hii wamefariki wachache, tisa tu!
Mkuu wakati mwingine ni vizuri kutafakari mambo kiundani zaidi kabla ya ku comment - je, machafuko yote na vifo vya raia wasio na hatia katika Africa ya kasikazini, Mashariki ya kati na Afghanistani nani wahudija wakuu?
Umesikia mara ngapi drones zinauua watu kwenye harusi , misikini, mahospitali na mashule kwa visingizio vya kuwauua magaidi - magaidi walio wachonga wenyewe na kuwa finance kwa masuala ya regime change na Geopolitics za Wamarekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazo unga mkono blindly Uncle SAM.
Hivi hizo nchi za magharibi - zinapo kill watu emass bila kujali kilio cha binadamu wenzao unategemea nini Mwisho wa siku? Si mwishowe ndugu zao watakuja kilipiza kisasi kwa njia yoyote ile - nyie mnatumia mindege, maroketi kuwamaliza wao wanatumia visu, shoka, magari/malori kukanyaga watu, AK-47 na improvised bomb zilizo jazwa misumari au ball bearings - yaani terror wazungu wanazo export africa, mashariki ya kati na afghanistani zinakuwa re-export kwao na a well trained fighters wanao jifanya ni wakimbizi - lengo lao ni kulipiza kisasi kwa njia mbadala ambayo ni equally effective kwa kuua watu na ku-instill fear/terror kwa wenyeji wa Ulaya na Marekani ndio wajifunze kwamba wanayo wafanyia watu ambao si wazungu na wao kibao kinaweza kuwagehukia wakaonja shubiri - yote hayo thanks to Angela Merkel na Erdogan kwa ukosefu wao wa akili - sasa wapiganaji hao wamekwisha tapakaa Continental Europe na Uingereza - kuwatambua na kuwatoa itakuwa kazi kweli kweli.
Siyo kwamba na
support Ugaidi la asha, nisicho penda mimi ni hizi nchi za magharibi ku terrorised nchi changa kwa visingizio mbali mbali na kuishia kuzisababishia madhala makubwa kwa binadamu na mali zao - hii siyo ftesh hata kidogo.
Wapigwe tu sio kila sehemu wanayopigwa mie ndio niongee Hata wewe ukiongea inatosha,mie sishobokei uislamu wala ukristo dini hizo zote tumeletewa na wazungu na waarabu)Walipiga madina mlilialia sana humu
Nimefuatilia na nimeielewa,nachotaka Mimi Hawa magaidi warudi na kuipiga tena ufaransa kwa Mara ya pili ingawa Uzi huu unazungumzia kuhusu tukio la ujerumani.Mkuu fatilia habari vizuri kabla ya kupost
Siku tatu zilizopita wasyria 51 waliuwawa kwa makosa na ndege za kivita za majeshi ya NATO na Marekani kwenye mji wa Manbij, lakini vyombo mbalimbali vya habari vikafukia habari hiyo.
Ni mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" na ni wale ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"
Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.
Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.
Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.
Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.
Siyo wale wanyowa vipara?Ni mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" na ni wale ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"
Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.
Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.
Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.
Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.
Wameuana wenyewe mara hii! Inasikitisha.
Waje huku manelomango.EU wapitie upya sheria zake zinazohusu kuwapokea wakimbizi. Wananchi wao watapakimbia Europe.
Mmoja wa wa watu wenye silaha ambae inasemwa kwamba ni mzungu akiwa juu ya jengo lenye maduka au shopping centre mjini Munich.
Mzungu huyo alisikika akitoa makelel na kutamka maneno kwa kijerumani kwamba, "I am German" yaani "mimi ni Mjerumani" huku akirusha risasi kwa kutumia bastola yake.
Kwanini nae asiitwe gaidi?Ni mzungu mwenye msimamo mkali yaani wanaitwa "right wing movement" na ni wale ambao wanaangaliwa na serikali kwa kila kitu yaani anachukua malipo ya kujikimu inaitwa "benefit"
Kuna uwezekano mkubwa akawa ni mtu mwenye matatizo ya akili na ameruka muda wa kunywa zike dawa zao wanazopewa.
Lakini amejiua baada ya kuuwa watu nane.
Inashangaza imekuwaje huyu jamaa amepata bunduki, maana kumiliki silaha Ujerumani ni kuna hatua ngumu za kupitia.
Tusubiri habari zaidi, hii nnayoelezea ni uchambuzi tu wa kitaalam.
Mtu huitwa gaidi au la hadi lijulikane lengo la mashambulizi yake. Kwa kingereza wanasema'' Motive of the shootings''Kwanini nae asiitwe gaidi?
Kwahiyo ugaidi ni nini sasa?Mtu huitwa gaidi au la hadi lijulikane lengo la mashambulizi yake. Kwa kingereza wanasema'' Motive of the shootings''