Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,404
- 36,543
Yuko sahihiKuna jamaa ameanzisha uzi akisema kwamba watanzania wengi ni wagonjwa wa akili
Maisha yanatufanya tuwe vichaa ila kumbuka hata hasira zako tu ni kichaaKuna jamaa ameanzisha uzi akisema kwamba watanzania wengi ni wagonjwa wa akili
Kuna jamaa ameanzisha uzi akisema kwamba watanzania wengi ni wagonjwa wa akili
Mbona rahisi tu hapo, angalia back ground right......no comment is the most correct answer..
Uzuri ni kuwa, hiyo ndio njia salama ya kutoshughurikiwa na wasiojulikana.Kuna jamaa ameanzisha uzi akisema kwamba watanzania wengi ni wagonjwa wa akili
Chief macho yako yanaona vizuri.Kushoto: waliosimama.