GE2025 Muliro awaonya wanaotaka kuandamana oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao.

Soma pia: Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama

Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 wakati wa kongamano la Vyuo na Vyuo Vikuu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza na kuwashirikisha wanafunzi wa shule za Sekondari, Vyuo na Vyuo Vikuu, akiwataka Vijana pia kuwa waangalifu na kutafakari kuhusu misukumo na mihemko yao kulingana na aina na makundi ama watu wanaoambatana nao.

"Tukiwa kama watu tuliokula kiapo tunawaleza kuwa tutatimiza jukumu letu la kuhakikisha kuwa watu wanakuwa salama, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura, wafuate sheria na sisi tutakuwepo barabara kuwalinda wote wanaoenda kutimiza jukumu lao la Kikatiba la kwenda kupigakura. Siku hiyo kutakuwa hakuna maandamano wala hakuna vurugu, siku hiyo ni ya upigaji wa kura bila hofu."Amesema.
 
View attachment 3493221

Mulilo bado una kiu ya kuua? Mbona umeua sana tena sana? Bado una kiu?
 
Mulilo atafanya kazi yake tu aliyolia kiapo.
Hauelewi nini kwenye hiyo speech?
Gewe,Sirro,na mwingine yule kipindi cha Mkapa.
Wao ukienda kuvuruga kazi yao watatetea ugali wao.
Wao wako kazini,kulinda raia wema siku zote.
Virungu,mabomu ya machozi,risasi vitahusika.
We kama humtaki kiongozi yeyote piga kura weka❌tambaa
Au la piga kimya tu.
Kiujumla sijawahi kupiga kura maisha,wala sina Chama ni Admirer tu wa wanasiasa kuanzia Hayati Mwalimu Julius Kambarage,Mwinyi,Mkapa,JK,Magufuli RIP🙏,
Hapa tulipo tumepigwa,
Ila sasa kwenda kuandamana tena unapoteza mara 2.
Utapigwa tena.
Tulinde Amani jamani uhai ni kitu kizuri sana.
Ukifika muhimbili,mloganzila ndo utajua hujui.
Tuliokaa huko tunajua
 
Kamanda anasema Awi wanaotishia kuandamana wanajibu Awaaa kiuoga uoga.

Hizo nyumbu ndo zinategemewa ziandamane
 
Kamanda utawajuaje waandamanaji na wapiga kura wa mazee.
Hyo mbinu ni nyepesi sana..
Watu wana hamu na nyie, sema tu hamjui..

Ukitaka kujua, we ingia front usiogope kulikomboa taifa sijui kutoka wapi huko!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao.

Soma pia: Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama

View attachment 3493221

Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 wakati wa kongamano la Vyuo na Vyuo Vikuu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza na kuwashirikisha wanafunzi wa shule za Sekondari, Vyuo na Vyuo Vikuu, akiwataka Vijana pia kuwa waangalifu na kutafakari kuhusu misukumo na mihemko yao kulingana na aina na makundi ama watu wanaoambatana nao.

"Tukiwa kama watu tuliokula kiapo tunawaleza kuwa tutatimiza jukumu letu la kuhakikisha kuwa watu wanakuwa salama, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura, wafuate sheria na sisi tutakuwepo barabara kuwalinda wote wanaoenda kutimiza jukumu lao la Kikatiba la kwenda kupigakura. Siku hiyo kutakuwa hakuna maandamano wala hakuna vurugu, siku hiyo ni ya upigaji wa kura bila hofu."Amesema.
Alisema
 
Jinga kabisa hili saa hizi liko mafichoni, linasema video ni AI halafu mwingine anasema kweli waliua watu.
 
Mlilo awe wa kwanza kufikishwa mahakama ya Uhalifu ICC The Hague
 
Jinga kabisa hili saa hizi liko mafichoni, linasema video ni AI halafu mwingine anasema kweli waliua watu.
Waandamanaji waliandamana kwenda kwake Mbezi kimara wakazuiwa na Asikari kwa kutupiwa Risasi nyingi wakatawanyika, kinyume na hapo nyumba yake ingechomwa moto, sasa wapo wanamngojea Asitaafu akiwa nyumbani mda wote wamdai ndugu zao aliowaua
 
Back
Top Bottom