Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

Mimi ndo nafika kwenye kijiwe changu.

Niko na salari slipu mfukoni yeyote atakaye niita ntamwambia tulinganishe mishahara yetu kwani najua ofisi ya mkuu wa mkoa na DEO wana tabia ya kufuatilia siku za mgomo.

mimi sijaenda nimeongea na head yeye ndo yuko njian anakwenda kuangalia hali ya usalama.
 
atakayeenda alambwe bakora hadharani kwa kuwa ni msaliti wa ukombozi na mapinduzi,na wanafunzi waingilie na wazazi pia wasibaki nyuma
 
Hata nami nimelala na ma wife hakuna kazi likizo imeanza mapema. Enendeni mkalinde magwepande kuna mtu atapelekwa huko. Ole wako mkoba ukate kauli utakiona. Walimu wa shule za mlandizi wamelala na atakayeenda shuleni atapewa kichapo kikali. Usiwe mwoga kudai haki yako. Mpaka kieleweke. Uwalimu sio wite tena bali ni ajira. Nimegoma nadai haki yangu siogopi vitisho nina hakika na taaluma yangu. Mapinduzi yaaja.
 
Sabodo amesema mtu yeyote anayeitaji msaada aende,kwhyo walimu jiorganaizini mpate kiongozi mkachukue mlungula kipindi hichi cha mgomo maana hii serikali inweza isiwape mishaara ya august ingawa wataenda kinyume maana mgomo huu ni halali.
 
Hata nami nimelala na ma wife hakuna kazi likizo imeanza mapema. Enendeni mkalinde magwepande kuna mtu atapelekwa huko. Ole wako mkoba ukate kauli utakiona. Walimu wa shule za mlandizi wamelala na atakayeenda shuleni atapewa kichapo kikali. Usiwe mwoga kudai haki yako. Mpaka kieleweke. Uwalimu sio wite tena bali ni ajira. Nimegoma nadai haki yangu siogopi vitisho nina hakika na taaluma yangu. Mapinduzi yaaja.

vituo gongana........hiii!
 
Ndugu wadai hivi karibuni tulisikia ktk vyombo vya habari kuwa waalimu leo tarehe 30/07/2012, je wanajeshi watatumika kuokoa jahazi kwa kufundisha mashuleni kama ilivyokuwa kwenye mgomo wa madaktari walivyoingia hospitalini kutibu?
 
mi nashangaa sana hivi ni kwann secta muhim huwa hazipew kipaumbele katika nchi hii;kwa mfano madactari,walimu,kweli wana haki ya kudai haki yao.
 
walimu waligoma siku nyingi tu labda leo kama wanataka kuuonyesha umma. ''angalia matokeo ya mitahani kwa wanafunzi tangu mwaka 1994 ndo utapata kuelewa.''

EXACTLY.....
Mwl kagoma tangu kitambo sema serikali haijastuka tu aisee
 
Mimi nilitegemea kupata update....

Kwani wamegoma kweli au wameogopa mkwara wa kitoto uliochimbwa na Ikulu....

Kwa watu ambao hawakupikwa kwenye tanuru la freedom square,...nina hakika huo mkwara utakuwa umetosha kuwafanya waendelee kulamba unga wa chaki.......

Sitaki kuwa Tomaso ila nadhani hawana guts za kuwakaribia Ma-Dr!!
 
kumbukeni walimu single ya kwanza walisalitiana[mgomo wa 1]vp hii ya pili watasimama wote kwenye chorus?
 
Back
Top Bottom