Mwandishi Kulwa Karedia wa gazeti la Mtanzania leo jumapili amemuelezea Katibu mkuu wa ccm Wilson Mukama kama mtu aliyepoteza sifa za kuwa kiongozi wa CCM. Mukama ameshutumiwa kwa kutunga uongo ulio wazi kuhusu kwamba CHADEMA imeleta makomandoo kutoka nchi za kiislam na kuwaingiza Igunga. Mwandishi amesema Mukama amekosa mbinu za kisasa za kupambana na chadema na badala yake anatapatapa.
Mwandishi anaeleza vitendo vya ovyo na mbinu za kizamani za Mukama vitaiangamiza CCM mapema kuliko ilivyotarajiwa.Mwandishi anachambua inavyoelekea uchaguzi wa Igunga huenda ikawa kiama cha Mukama.
SOURCE MTANZANIA UK. 11