Mukama(Katibu mkuu wa zamani wa CCM) yuko wapi?

Mukama(Katibu mkuu wa zamani wa CCM) yuko wapi?

hata hivyo ni wa nini? CCM wote wakipotea kihivyo ni falaja kwa Tanzania nzima;
Tangu lini mtaani kwenu mkasikia kibaka amehama mkajuta?
 
CCM wakiisha ''mtumia'' mtu hautakaa kumsikia tena. Utakapomsikia kwenye MASS MEDIA itakuwa ni kwa ajili ya RIP. Hiki chama cha MaCCM ni kama Freemasonry
 
Anakunywa matapu tapu huko tarime.....kuchoma vibanda na vurugu za igunga huyu mzee nitamkumbuka kwa mabalaaa matupu na misharubu yake kama kambale.
 
Nape alikuwa anafanya kazi zote sasa yeye angefanyaje. Maana hata sasa anafanya kazi za katibu wa sasa na za mwenyekiti. yeye ndiye kila kitu!
 
Laana ya Mungu imemuangukia baada ya uongo wake kuhusu CDM KWENYE uchaguzi wa Igunga !
 
Huyu Mtu yuko wapi?

Alikuja na Idea yake ya kuwavua watu Magamba ila kabla hajawavua Yeye ndio akavuliwa Gamba. Huwa namsikia Yusuf Makamba ila huyu bwana huwa simsikii au na yeye amechoshwa na "Gutter Politics"
 
Huyu Mtu yuko wapi?

Alikuja na Idea yake ya kuwavua watu Magamba ila kabla hajawavua Yeye ndio akavuliwa Gamba. Huwa namsikia Yusuf Makamba ila huyu bwana huwa simsikii au na yeye amechoshwa na "Gutter Politics"
Pita Lumumba utamkuta anaendelea na majukumu yake ya kukijenga chama
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Pita Lumumba utamkuta anaendelea na majukumu yake ya kukijenga chama
Chama
Gongo la mboto DSM

Vipi ile Project ya Kujivua Gamba iliishia wapi? Maana nakumbuka Pesa za Walipa kodi zilitumika sana kuzunguka Nchi Nzima kututangazia Magamba yaliyotakiwa kuvuliwa. Ni Vizuri wanachama tukapewa TATHMINI
 
Alikabidhiwa ulaji wa kuandaa chuo cha maadili ya viongozi wa CCM
 
vipi ile project ya kujivua gamba iliishia wapi? Maana nakumbuka pesa za walipa kodi zilitumika sana kuzunguka nchi nzima kututangazia magamba yaliyotakiwa kuvuliwa. Ni vizuri wanachama tukapewa tathmini
alikuwa anaongoza chama kwa kutumia theory za kina karl marx bila kuangalia hali halisi ya mazingira ya sasa
 
Pita Lumumba utamkuta anaendelea na majukumu yake ya kukijenga chama
Chama
Gongo la mboto DSM

kujenga miaka yote? Sory ivi maccm Mmelogwa? Miaka 50 mumeshindwa, chama kinabomolewa hiki sasa..vp mmepewa malipo leo?
 
Mukama alikuwa ni katibu mkuu wa CCM kabla ya kuondolewa nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka jana. Alipewa kazi ya kuanzisha na kusimamia chuo kikuu cha CCM. Ni muda sasa hajaonekena kwenye majukwaa ya kisiasa ya CCM. Mpaka sasa hatujaona hatua zozote za kuwepo kwa chuo kikuu cha makada wa CCM.

Tumemkosa sana vituko vya huyu jamaa hususani mtindo wake wa kuropoka mbele ya waandishi wa habari huku mate yakiruka na mwonekano wa ajabu kidogo wa ndevu zake vilizokuwa zinafunika mdomo!!!. Waandishi wengi wa habari walikuwa wanapata burudani sana wakati wakimuhoji lakini wakikaa mbali naye wakati akiongea!!!

Ninapenda kujua huyu jamaa yuko wapi na kwanini haonekani tena?
 
JF WHERE WE DARE SAY THE TRUTH , briefly, wisely and to the point Mukama has been assigned to political oblivion,the worlds is stage we have our entrances and exits .in lifetime we play many aparts.
 
majuzi hivi nilimuona buguruni rozana... naisi atakuwa dar tu na bussines zake.

Sasa kupitia huyu walivyomchinjia mbali maCCM na lameck madelu mwigulu nchemba hagekuwa anajifunza lakini kijana kajaa dharau na kibuliiiiiiiiiiiiii tuuuuuuuu.
 
He has been used as toilet paper, now dumped out
 
Back
Top Bottom