Mukama(Katibu mkuu wa zamani wa CCM) yuko wapi?

Mukama(Katibu mkuu wa zamani wa CCM) yuko wapi?

kipindi cha kikwete kimekumbwa na mitikisiko mingi sana,ndani ya miaka 8 makatibu wakuu wa ccm wa3? na kila mmoja na vituko vyake,naona ccm waligundua huyu mzee speed yake ni low sana hawezi kimbizana na speed ya dr wa ma dr wakaona wamuweke pembeni kwanza kisha kuingiza mamafia wa siasa ili kuokoa jahazi,japo nao hawatumii akili kufanya siasa zao na matokeo yake wanatumia nguvu zaidi kuliko maarifa,soon majibu yatatoka

Mukama mpaka leo hii navyoongea hapa nyumbani kwake kuna bendera ya ccm inapepea kuonyesha kuwa yeye na ccm ni damu damu
 
Huyu alipewa kazi ya kufufua chuo cha ihemi kule iringa kwa ajili ya kuwafunda makada wajeuri kama nape,mwigulu,lusinde n.k baada ya hapo sijamwona sana namkumbuka sana wakati akiwa katibu mkuu alipokuwa anamkaribisha mwenyekiti wa ccm kuhutubia alikuwa anasema sasa "sasa kwa jeuri kubwa nakukalibisha m/kiti uhutubie...............................".yuko wapi sijui huyu ndio alikuja na utafiti wa kujivua gamba na wakampa yeye ausimamie kashindwa mazima.
 
Its non of our buznezz.simply just call him and ask where he is.Nadhani kutoka na na ID yako unapaswa kujua aliko au labda unatutega kuona kama tunajua aliko!By the way ana umuhimu gani zaidi ya kuwa na ule moustache wenye kukingia makamasi.
 
very WEAK POLITICIAN IN TERM OF DECISION MAKING HE IS LIKE TOOTHLESS DOG.
 
Pita pia kwenye vibanda vya matapu tapu namwonaga mzee kipara na masharubu kafanana na mkama kweli,mh!huwa nahisi ndio yeye pale njaro karibu kwasokota!anakandamiza tapu tapu tu.
 
Wa nini na kazi yake ilishaisha? Kule kwenye club yao hahitajiki tena
 
He has been used as toilet paper, now dumped out

Unfortunately he was not a political commissar but more of a civil servant.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Its non of our buznezz.simply just call him and ask where he is.Nadhani kutoka na na ID yako unapaswa kujua aliko au labda unatutega kuona kama tunajua aliko!By the way ana umuhimu gani zaidi ya kuwa na ule moustache wenye kukingia makamasi.

Mara ya mwisho nilimuona kwenye picha wanamsoundisha dangote,hii nchi!
 
Hivi huyu jamaa kachukia siasa moja kwa moja au?na JK naye hata hakumfikiria kumteua Bonge la Cut Bar,duh...kweli siasa zina wenyewe
 
Chezea CCM weye! CCM ina wenyewe! Jamaa huyu Mukama alijifanya much-know, hawakumkawiza, wakatupa nje kwenye jalala. Kutupwa kwa huyu Bwana kukamuogopesha Nape, akaona ili naye asitupwe inabidi aache kabisa ujuaji!
 
Back
Top Bottom