Mukama akutana na Kardinali Pengo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mukama akutana na Kardinali Pengo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Miruko, Jun 13, 2011.

 1. M

  Miruko Senior Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pengo.JPG Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Dar es Salaam leo.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ameenda kufanya sala ya toba tu.
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,855
  Likes Received: 2,331
  Trophy Points: 280
  Magamba bila neno la mungu yamegoma kuvulika - jamaa kaenda kupata upako.
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yaaani hawa magamba wana shida hawa!!tutashuhudia mengi sana mwaka huu!!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  si walisema maaskofu wavue majoho ...... ?
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ukiwaangalia kwa makini inaonyesha ni kikao cha amani na utulivu
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni strategy ya ccm ya kuwagilibu wakristo ili waamini viongozi wao wa juu wanaisapoti ccm.
   
 8. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mashekhe hawawafai tena MAGAMBA? Karibuni mtubu dhambi zenu..
   
 9. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusubiri statement ya kipi waliongelea
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hiyo sio kauli ya CCM ni kauli ya Mary chatanda na Mzee wetu mstaafu Yufuf Makamba. Makamba tayari kavuliwa joho la kijani na CCM na Chatanda kakoshwakoshwa huko Arusha lakini bado cinema inaendelea kati yake na James Millya yamkni naye atavuliwa joho la kijani kabla hajawavua maasikofu.
   
 11. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mh! Ngoja nifuatile, nitawajulisha kilichojiri wana JF
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni kama kinachofuata baada ya kusaini kitabu cha wageni Mkama atamwambia Pengo avue Joho!!!!!!!!!!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Angekuwa katibu mkuu wa cdm ndiye kakutana na pengo, mmmmh udini ungeingizwa kati lakini sasa ni katibu mkuu wa CCM wana Jf wenye kupenda kupanda mbegu za udini hawatahoji kilichozungumzwa.
   
 14. C

  Chap Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kweli Mbu sugu
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  MS akiiona hii thread sijui itakuwaje....!
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mpiga picha hakuwa makini sana kapiga picha....Mkama haangalii kitabuni........, kwa wataalam wa picha inakuwa kama alishamaliza kusaini kamera ikachelewa kisha akaombwa tena kushika tu pen huko anaangalia nje ya kitabu. Hao ndio aina ya cameramen tulionao. mwisho unaweza kukuta hata picha yenyewe ni ya kuungwa kwa kompyuta.
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nape naye alikuwa chuo cha waislamu
   
 18. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hapo kachemka au kachelewa Lowasa kashawahi Nigeria kupata toba kubwa
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Atakuwaa ameenda kupata michongo ya wanaojihusisha kuingiza madawa ya kulevya kwa kivuri cha kanisa ili nao wawavue gamba, maana huyo mzee ni mtaalam kwa kuwavua gamba. Pengo anaona aibu kwa kufatwa na mzee wa kuvua gamba nadhani alikuwa anafikiria "labda huyo mzee kaja kunichana live nini eti na mie nivue gamba."
   
 20. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbu sugu:vichwa vyao vigumu sana watahoji tu wee subiri.
   
Loading...