Mukama akutana na Kardinali Pengo

Mukama akutana na Kardinali Pengo

Atakuwaa ameenda kupata michongo ya wanaojihusisha kuingiza madawa ya kulevya kwa kivuri cha kanisa ili nao wawavue gamba, maana huyo mzee ni mtaalam kwa kuwavua gamba. Pengo anaona aibu kwa kufatwa na mzee wa kuvua gamba nadhani alikuwa anafikiria "labda huyo mzee kaja kunichana live nini eti na mie nivue gamba."

Utulivu unahitajika sana kwenye kuandika,napita tu:
 
View attachment 31913Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Dar es Salaam leo.

Memorandum of Understanding between Kanisa Katoliki na Chama Cha Magamba!!!!!
 
Duh MS na Bibie FF nasubiri comments zenu kwa hamu na nidhamu kubwa.
attachment.php
 
Yawezekana amekwenda kutuliza mtafaruku uliojitokeza kati ya Mwenyekiti wa CCM na viongozi wa dini, ameanza kwa Cardinal Pengo kisha atatembelea KKKT, Moravian, etc. Lakini hiyo yote ni kutapatapa tu, aliyefanya kosa ndiye anatakiwa kwenda kutubu. Wauza madawa ya kulenya lazima watatajwa tu, viongozi wa dini hawana simile.
 
Atakuwaa ameenda kupata michongo ya wanaojihusisha kuingiza madawa ya kulevya kwa kivuri cha kanisa ili nao wawavue gamba, maana huyo mzee ni mtaalam kwa kuwavua gamba. Pengo anaona aibu kwa kufatwa na mzee wa kuvua gamba nadhani alikuwa anafikiria "labda huyo mzee kaja kunichana live nini eti na mie nivue gamba."
Shika adabu, huwezi mfananisha Mukama na Pengo wewe! Mukama anahitaji huruma ya Pengo, chunga sana kufananisha mlima na kichuguu.
 
Wangekuwa CHADEMA hapo waende ungewasikia wenzangu na mimi CHADEMA chama cha wakristo,sasa wapo kimya kumbe leo CCM ni rafiki wa sisi WAISLAMU kupitia chombo cha BAKWATA kinachotumika kutuhadaa tangia enzi za uhuru mpaka leo
 
Back
Top Bottom