Wala hajibu maswali anayoulizwa! Ni kama anajitungia swali na kuanza kulijibu! Kumbe nae ni kilaza! Sikujua mpaka leo!
Wana JF,
Mlimani TV wanamuhoji Katibu Mkuu wa CCM Wilison Mkama..
Anaelezea eti uzuri wa chama chao.
Wala hajibu maswali anayoulizwa! Ni kama anajitungia swali na kuanza kulijibu! Kumbe nae ni kilaza! Sikujua mpaka leo!
Mjini watu wanapata maji 80%..
Anasema chama cha mapinduzi sio kizee bali ni kikongwe
Anasema CCM hakuna kubebana watu wanaleta hisia tu.. CCM ni imara
CCM kweli wameishiwa. Leo wamepokea wachina (community party officials) na Nape alinukuliwa na TBC1 akisema kuwa wamekuja ili kubadilishana na mawazo. Ni dhahiri Mukama na wenzake wamefikia ukomo sasa wanataka ku-import ideas!