Mukama akiri CCM ina mgogoro wa kiitikadi

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Akizungumza kupitia television mlimani Katibu Mkuu wa CCM amesema makundi ndani ya chama yanatokana na utofauti wa kimawazo/ kifikra.
 
Huyo mzee kwel leo ndo kadhihirisha kuwa ye top Kilaza. Hakuna cha maana anachozungumza.
 
Wana JF,
Mlimani TV wanamuhoji Katibu Mkuu wa CCM Wilison Mkama..
Anaelezea eti uzuri wa chama chao.
 
Listening skills ni zero. He is jumping to conclusion before the interviewer finish-up his statement.
 
chama ni kizuri kina bendera nzuri wanachama safi kina majengo mazuri ila kina viongozi mazuzu aka matahira kuazia shina mpaka matawi
 
Anasema kuna tume ya mipango katika sekta mikakati..na kazi ya CCM ni kutetea wanyonge..ana misamiati mingi sana
 
............kuna zaidi ya hiki, kipo, sawa nalo lipo, nakubali, lakini sio katika kiwango cha kutuaminisha kwamba mgongano wa fikra ndio umefikisha CCM hapo ilipo, nakubaliana na Mukama kama tofauti hizo anazotuaminisha ni za majina ya wanaotaka kwenda Magogoni, mnyukano huu ni wa Magogoni; niliwahi kumsikia/kumsoma pia mh. Membe, yulee nyoka wa mdimu (according to Mdhihiri Mdhihiri) kwamba tofauti zake na mh Lowassa ni za kifikra; mimi nasema no, (maoni yangu lakini) mnyukano ni wa 2015, hiki ndio kiini, ndio hata chanzo cha dhana ya Magamba, wanaoogopa kivuli cha Lowassa awapishe mapema, ndio! hakuna tofauti ya gamba la Lowassa na magamba mengine ndani ya CCM yanayotaka apungue kwenye list ya 2015
Akizungumza kupitia television mlimani Katibu Mkuu wa CCM amesema makundi ndani ya chama yanatokana na utofauti wa kimawazo/ kifikra.
 
Wala hajibu maswali anayoulizwa! Ni kama anajitungia swali na kuanza kulijibu! Kumbe nae ni kilaza! Sikujua mpaka leo!
 
CCM hawaelezani ukweli, wanakaa na wezi kwenye vikao vyao, alisema mmoja wa wananchi waliopiga cm kutoa maoni.
 
Anasema Serikali ya CCM sera zake ni za kumlinda mtanzania.
Anaelezea mradi wa mabasi yanayo kasi, anasema ni mkubwa Afrika baada ya South Africa ni Tanzania..

Mradi utatumia dola milioni 200 ni sera za CCM
 
CCM kweli wameishiwa. Leo wamepokea wachina (community party officials) na Nape alinukuliwa na TBC1 akisema kuwa wamekuja ili kubadilishana na mawazo. Ni dhahiri Mukama na wenzake wamefikia ukomo sasa wanataka ku-import ideas!


Akizungumza kupitia television mlimani Katibu Mkuu wa CCM amesema makundi ndani ya chama yanatokana na utofauti wa kimawazo/ kifikra.
 
Maneno yake yanatia kichefuchefu sana hasa kwa mtanzania mwenye ufahamu wa jinsi nchi hii inavyoendeshwa sasa na kilaza mkwerre.
 
Anasema demokrasia bila nidhamu ni uhuni. Alikuwa akijibu hoja kwamba mwkt wa chama anatumia vyombo vya dola kunyanyasa upinzani.
 
Anasema Demekrasia bila nidhamu ni uhuni..
Ana nukuu kutoka uingereza anasema vijana kama wanalazimisha kuandamana basi wanaweza kufungwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom