Muite girlfriend wako majina romantic

Mwingine tulikua tunaitana baba chanja/mama chanja ila tuliachana, hadi saivi tukiwasiliana tunaitana hivyo.
Tupo wengi.

Sie ilikuwa baba D na mama D. Ila hapo kati ni story nyingine thoe we're still keeping in touch na majina hayajabadilika. Kwenye simu bado nimemsave baba D na kikopa chake vile vile hata sijaedit since amekula kona πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hatujapoa mpaka na sisi tupate[emoji1787][emoji1787]
Aya bhana

Unamiss sana kuambiwa "Khantwe my sweetheart umeshapata lunch? if not,nikuagizie something yummy uletewe na uber eats"
 
Kwanini hujaedit kikopa lakin, current bebe akiona haitaleta noma?
 
Mwingine anaitwa
Laaziz
Nyonga mkalia ini
Habibi
Kipenda Roho
Sweet heart
Heart keeper
My Pumpkin
My Jollof Rice

Lakini wengine wanaitana
Koku
Shantufe
Mama Nyakumwana duh[emoji23]
The world is not fair
 
I calls her Babe or Babymama and she calls me Babe or Babydady,

Siku akiniita jina langu najua kimenuka fasta naanza kuwaza kama zile sms nilifuta, calls history niliclear kila kitu kikiwa sawa naitikia kwa bashasha zote.
Mnafurahisha sana!
 
Aya bhana

Unamiss sana kuambiwa "Khantwe my sweetheart umechapata lunch? if not,nikuagizie something yummy utaletewa na uber eats"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hee dada yako mpaka nazeeka sijawahi kuyasikia maneno haya masikioni mwangu
 
that word mama angu' hua inasound good jamani ata kama una stress zaisha zooteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hee dada yako mpaka nazeeka sijawahi kuyasikia maneno haya masikioni mwangu
[emoji23][emoji23][emoji23]..Sisi kama wadogo zako acha tuanze kukuweka kwenye maombi rasmi
 
Kwa mtu unayempenda, mtu ambaye humpendi akikuita hivyo unaweza tamani umbamize la lichupa la Pepsi bigi
khantwe why lakini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…