Aisee hili gunia la ngapi umefungua? 😂😂 natamani hizo gunia zako za maneno ziishe then nione what's next....hivi unajua koment yako ikiingia, hata kama nipo bara barani...nasimamisha magari..wakihoji kuna nini...nawaambia tulien kuna komenti muhimu hapa naijibu..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji7]
Yaani hata kama nipo kwenye umati wa watu, nikisikia tu harufu nzuri ya marashi imepita, najua tu hii ni coment ya Depal imeingia..[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji8][emoji8][emoji7][emoji3059][emoji5]
Ni kama kiwanda, ikitoka product moja nyuma zinazalishwa products kama zote.Aisee hili gunia la ngapi umefungua? 😂😂 natamani hizo gunia zako za maneno ziishe then nione what's next.
Be careful tu uko barabarani..
Bro ake umetisha🤣Yaani hata kama nipo kwenye umati wa watu, nikisikia tu harufu nzuri ya marashi imepita, najua tu hii ni coment ya Depal imeingia..[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Au sio 😆😆😆Ni kama kiwanda, ikitoka product moja nyuma zinazalishwa products kama zote.
So maneno hayawezi kuisha😂
Ndivyo ilivyo😀Au sio 😆😆😆
[emoji23][emoji23]Hata umuite majina yote duniani pasipo kusimamia ukucha balabala kazi bure alafu ujikute huna pesa imekula kwako wauni watakuchapia mpk ujute
[emoji28][emoji28][emoji28]Kama huna pesa hata umuite majina yote romantic hapa duniani ni kazi bure !!!
Sasa sijui matajiri kwanini wana mke mmoja[emoji28][emoji28][emoji28]
...bado nipo gunia la kwanza....ndiyo kwanza nimelifungua leo asubuhi my heart beat..[emoji8][emoji7][emoji7]Aisee hili gunia la ngapi umefungua? [emoji23][emoji23] natamani hizo gunia zako za maneno ziishe then nione what's next.
Be careful tu uko barabarani..
.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nashukuru sana....Depal si wakumchezea chezea eti...lazima ujikokiBro ake umetisha[emoji1787]
Nashukuru kama unalitambua hilo bro, usifanye makosa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nashukuru sana....Depal si wakumchezea chezea eti...lazima ujikoki
Siwezi fanya makosa kabisaa...your wifi is precious....[emoji8]Nashukuru kama unalitambua hilo bro, usifanye makosa
Ooh how sweet🤗Siwezi fanya makosa kabisaa...your wifi is precious....[emoji8]
Wanawezaje kuwa na wake wengi wakat ata uyo mke mmoja kumtia vzur hawawezi mda wote wanawaza ela muda woteSasa sijui matajiri kwanini wana mke mmoja
Kina Bill Gates,Warren Buffet
Money can't buy love bana