Muingereza mwengine akatwa kichwa

Muingereza mwengine akatwa kichwa

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
141004045257_alan_henning_624x351_b_nocredit.jpg
Alan Henning kushoto mda mchache tu kabla ya kukatwa kichwa na mtu aliyesimama kando yake.

Alan Henning kushoto mda mchache tu kabla ya kukatwa kichwa na mtu aliyesimama kando yake. Kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic state limetoa ukanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning raia wa Uingereza akikatwa kichwa.

Henning mwenye umri wa miaka 47 ambaye ni dereva wa texi kutoka kaskazini mwa Uingereza alitekwa nyara mwezi Disemba mwaka uliopita alipokuwa akilifanyia kazi shirika moja la kutoa huduma za misaada kwa wakimbizi nchini Syria.

Kundi la Islamic State ambalo limechukua udhibiti kwenye maeneo ya mpaka kati ya Syria na Iraq tayari lishawaua waandishi wa habari raia wa Marekani James Foley na Steven Sotlof pamoja na mfanyikazi wa kutoa huduma za misaada kutoka Scotland David Haines.

Mapema babake John Cantlie raia wa Uingereza ambaye anashikiliwa mateka na wanamgambo wa Islamic State aliomba kuachiliwa kwa mwanawe.


Source:BBC Swahili


Muingereza mwengine akatwa kichwa - BBC Swahili
 
Mhhh majanga huyo aliye mkata kichwa tayari kashapata thawabu kwa mungu wake muuaji na sio Mungu halisi
 
Naye ni aid worker! Jamani wazungu hawa wana roho nzuri kama malaika kuwasaidia waarabu lakini waarabu mashetani wanawaua watoa misaada kila siku!
 
Hapo jamaa wa magharibi wasome alama za nyakati katika kutoa misaada ya kibinadamu kwa nchi za kiarabu.

Namwonea huruma sana yule dogo Peter Kassig ambae ndie anayefuatia kuchinjwa na IS. Hapo familia yake ianze maandalizi ya kuomboleza. Maana IS ni zaidi ya Ibilisi. Hawana huruma wale jamaa
 
Wacha wachinjwe tu.. mpaka pale CIA itakapoacha "kuunda" haya makundi na kuyapa ufadhiri...
 
Wacha wachinjwe hadi naona raha hapa,,,,wanaua sana ndg zao waArab kuwafitinisha
 
Mwandishi kwenda nchi zenye machafuko ukubaliane na yote, familia wakanye ndugu zao kwenda sehemu zenye machafuko kwa sababu yoyote iwayo otherwise wajiandae kuwapoteza na sio kuja kulialia kwenye media wakitaka Huruma za magenge ya wapiganaji...oooo
 
Hakuna cha waandishi wa habari wa cha Aid workers. .
Hao ni majasusi tu.. wacha wachinjwe.
Swali la kujiiliza kwa nini hawakomi kwenda huko? Au wao ndo wanaupendo saaaanaa kwa waarabu..
 
Mhhh majanga huyo aliye mkata kichwa tayari kashapata thawabu kwa mungu wake muuaji na sio Mungu halisi

Umejuaje kama kweli mungu wake sio halisi?? Ebu ona mungu wako anavyosema
Luke 19:27 - But those mine enemies, which would not that I should reign over them, bring hither, and slay [them] before me.
 
Jamani kabla kuawa Gadaf,ilibia ilikuwa mahala pazuri,Nato wakawasaidia waasi na kumuondoa Gadaf,na hivyo ndio ilikuwa Iraq,uvamizi wa Us na washirika wake ambao umeicha nchi ktk mauaji yasiyokoma,Bush aliosababisha anakula bata mwenzie Sadam kaburini.Hali ni tete wazungu ondokeni na mrudi kwenu kwani nilazima mkae vitani Looh
 
Hata mm hao jamaa ukinipa Kisu Nachinja tu hata wawe 700 hawa jamaa sio watu ni masheytwan wakubwaa CHINJAA!
 
Ni muhimu kujua kuna global war iliyo base kwenye imani ya dini ya kiislam katika kulazima ukhalifa. Itasambaa dunia nzima. Na kimsingi iko well organized. Wamejigawa wakajipa majina tu ila mission ni moja - jihad. Alshabab, boko haram, alqaida, IS wote lao moja. Kesheni mkiomba mkijua yajayo.
 
Mkuu usdivert mada kuuwawa kwa huyo mtoa misaada kuna uhusiano gani na Gadaf au Sadam,unaona wako sahh kabsa kuuwa watu wasiokuwa na hatia na isitoshe yy sio mwanajesh ni raia wa kawaida
 
Back
Top Bottom