Muigizaji wa Filamu ya Star Wars, 'Princess Leia' afariki dunia

Naomba nije!!!
Ntachangia POPCORN.
:D:D:D:D:D
Karibu sana mkuu.
Hutaamini nimeanza kuangalia Star wars 2014.
lakini nimerudia tena kuagalia tena mwaka jana
Na mwaka huu pia.

Mama yake na Princess Leia (Padme na baba yake Anakin Skywalker na baadaye kuwa Sith Lord "Darth Vader") ndio chanzo cha mimi kuanza kupenda Star wars the fact that Anakin alikuwa tayari kufanya chochote kuwa na Padme japokuwa yeye "Anaki" haruhusuwi kuwa na mke wala watoto. Alikuwa tayari kuingia "The dark side" lol ili tu amsaidie Padme na yeye kuachana kabisa na kuwa Jedi. lol

Ngoja niache hapa maana utamu unazidi lol.
Ila karibu mno hii weekend mi ni marathon ya star wars kuanzia asubuhi
mpaka kieleweke. lol -:)
 
Daaah umenifurahisha sana,
Mimi nimeanza kuiona miaka ya 90's.
Ninazo Collection zake zote hadi hizi mbili mpya za mwaka huu,
The Force Awakens ambayo ndiyo movie ya mwisho ya Leia na Rogue One iliyotoka juzi,
Zitafute bwana, you will never be disappointed.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unamjua Kylo Ren?
Hapana, kwa jina sikuwa namfahamu.

Kwa sura, sura sio ngeni.

NEdg55VBdeO9gd_1_b.jpg
 
Afro oh Afro oh Mtoto wa Sagana Afro Salamu zangu zikufikie bibie huko ulipo Afro....
 
Back
Top Bottom