Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,132
- 10,515
Richard Norton, mwigizaji, staa katika filamu ya Mad Max, amefariki akiwa na umri wa miaka 75, mkewe Judy Green ametoa taarifa kwenye Instagram.
"Nimevunjika moyo, sina maneno nimepoteza kila kitu changu," aliandika kwenye maelezo, pamoja na picha. "Najua kuna, na kutakuwa na upendo na mshtuko mwingi kwamba tumempoteza mwanadamu huyu wa ajabu. Upendo ❤️ wa maisha yangu. Ninatumia wakati huu kukubaliana na msiba wangu mkubwa."
Mwaka 1980 ulitupatia ubora wa filamu ukiwa na Chuck Norris kwenye filamu ya The Octagon, dunia haitasahau kazi zako bora ulizofanya na Jackie Chan, Sammo Hung, Yasuaki Kurata, Benny Urquidez, Don Wilson pamoja na Cynthia Rothrock.
PUMZIKA KWA AMANI RICHARD NORTON 🕯