Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,585 Reaction score 105,444 Apr 1, 2025 #21 Wakuperuzi said: Rip schoolmate in Ushimen 's voice Click to expand... R.i.P Classmate......😥
C chokodari JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,442 Reaction score 1,234 Apr 2, 2025 #22 PAGAN said: Tulikuwa wadogo, tukaaminishwa Cynthia Rothrock ndio mkewe. Click to expand... Tupo wengi tuliambiwa hivyo yaani
PAGAN said: Tulikuwa wadogo, tukaaminishwa Cynthia Rothrock ndio mkewe. Click to expand... Tupo wengi tuliambiwa hivyo yaani
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,337 Reaction score 22,286 Apr 2, 2025 #23 chokodari said: Tupo wengi tuliambiwa hivyo yaani Click to expand... Unajua enzi zile uswahilini kulikuwa na watu kiingereza hawajui lakini wanakutafsiria movie yote mwanzo mwisho. Walituingiza sana chaka mbwa wale
chokodari said: Tupo wengi tuliambiwa hivyo yaani Click to expand... Unajua enzi zile uswahilini kulikuwa na watu kiingereza hawajui lakini wanakutafsiria movie yote mwanzo mwisho. Walituingiza sana chaka mbwa wale
exalioth JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 2,376 Reaction score 4,093 Apr 2, 2025 #24 Hiyo picha uliyoitaja hapo kuna wadada wanapiga mkono balaa