Muhurumieni huyu alileta mapenzi kwenye maeneo ya kazi live kweupeeee mbele ya ze boss of the bosses

afu huyu kweli mburura kiasi achunike anaandika mmu wakati yupo jukwaa la nafasi za kazi tenda.
:faint:

wivu sina ila roho inauma---- ooh sorry, wewe kwako ni wivu unao na roho inauma!!!! hahahahaaaa!!!!!

mkuu nimecheka mwanzo mwisho!

mapenzi ya dar bwana, hadi raha!

mtoto kanunuliwa samsung na fisadi lingiiiiine, we upo tu unaitwa fulani (jina lako kamili), hamna baby hapo!!!!

mkuu tafuta saiz yako!! tafuta anaetumia nokia ya tochi kama wewe!

boooo!!

Tatizo investment ushaifanya na hapo uko nusu, Ukiacha ulichowekeza ndo kimeenda na ukiendelea huna hata uhakika wa kupata faida. Huyo mwanamke anajua kabisa kuwa akikupa K ndo mwisho wa kula pesa yako. Atakuwa keshapitia situation nyingi kama zako. Cut your loses bro and say goodbye.

Mimi ningekuwa ndio wewe nampigia simu na namchana Live kwamba natamani kukuhudumia zaidi, mwambie unatamani kumnunulia hiyo Smartphone na ahadi nyingine kibao za uongo, tatizo anakukatisha tamaa kwa kuwa huduma unatoa wewe tu alafu yeye hatoi. Muombe akupe K na wewe muahidi utamtimizia shida zake zote kama atabehave kama mke wako mtarajiwa. Muahidi dunia kijana kama atakukubali kama mpenzi na sio rafiki. Alafu ukila mzigo aingie kwenye Blacklist fasta tena baada tu ya kumlowanisha.

Natamani nikuandikie mengi ila kuna report ya offisi naimalizia. Goodluck
Amesikia huyu bwana "GOD KNOWS" mimi nimemsemea tu, hayanihuuu
 
Chezea watoto Wa mjini wewe utaumia mwenyewe, wenzio wanatoa milioni wamekaa kimya we laki inakutoa povu tafuta Nokia tochi mwenzako.
hata mi nimeshangaa sana.. kwanini asitafute saiz yake
 
.

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu.

.

hahahah!! hapo blue umenichekesha sana. avute subira labda atapewa. lol
 
HII POST NIMEIKUTA KULE KWENYE UZI WA MASUALA YA AJIRA, AKATI INAHUSU MAPENZI, NIKASEMA NI VEMA NA HERI IJE HUKU MMU, KULE WATU WANA STRESS ZA AJIRA HAWATA ITENDEA HAKI KABAISA... NAOMBA PIA ASAMEHEWE KWA KUCHANGANYA MAPENZI NA KAZI.. ILA SIO KOSA LAKE "MAPENZI KIZUNGUZUNGU" C MNAJUA....... HUTU JAMAA ANAJIITA "GOD KNOWS" MADA YAKE ILIKUA INASEMA "Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!"

Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya simu.

Mungu si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu!

Pia alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie. Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….!

Katika urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa rasmi mpenzi wa Fulani.

Kukubaliwa huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo. Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela niende hospitali.

Nimegeuzwa ----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu ya mwenzake. Kama umesoma “Critical Thinking and Argumentation” inabidi uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo.

Nikijiangalia mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo midogo.

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu.

Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.

That is a Bank, where you deposit your money and loose your interest.
 
Haaahaa mpwa kawa saccos bila kujua ila fresh acha achangie kupinguza gharama kwa wagegedaji
 
Natamani sana nimpate wa kikosi cha mizinga....
yaani natamani sana kupata wa mizinga....
Stupid kabisa...
 
pole bestito kwa yaliyokupata huyo si muolewaji achana naye atakuletea majanga mengine kabisa cha kufanya anza maisha yalko upya na jipange sawasawa tena na tafuta mwingine ambaye atakuwa barafu wa moyo wako ila chunga tena usijepata balaa kama la mwanzo bestito pole sana

teh teh teh siku akikupa inabidi unywe nyagi umkomoe....lol......sepa fasta hamna kitu hapo
 
pole bestito kwa yaliyokupata huyo si muolewaji achana naye atakuletea majanga mengine kabisa cha kufanya anza maisha yalko upya na jipange sawasawa tena na tafuta mwingine ambaye atakuwa barafu wa moyo wako ila chunga tena usijepata balaa kama la mwanzo bestito pole sana
Hahahahaaa! sio mimi lakini, hili janga limemkuta jamaa mmoja anaitwa "GOD KNOWS" ... ila asante badala yake
 
Uliimbiwa abaa baa baa nawe ukaitikia prakatumba tumba...Tumia garama zaidi mchukue mtoe nje ya mji kustarehe sehemu ambayo nilazima mtalala huko huko..Wakat mmelala omba mzigo,akigoma tena taratibu nenda jikoni omba Kisu na umma...kisu unamwekea tumboni,uma machoni then unamwambia avue nguo..hapo akigoma mwache tu atakuwa anaukimwi na hataki kukuambukiza.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

.hahahaha nmecheka sana lol.
 
Back
Top Bottom