Uongozi na maadili bado ni kitu kingine kabisa.
Uprofesa ni ualimu na kufanya tafiti nyingi zinazokubalika katika somo lako au around somo lako na kusimamia wanafunzi wake ki-academic.
Halafu baada ya muda maprofesa wenzio wanakaa kikao maalumu kwa ajili ya mtu kupewa uprofesa usu au uprofesa kamili.
Uadilifuuuuuuuuu.............siyo uprofesa.
Muhongo atabaki kuwa waziri, ndio ukweli huo!
Hii ni aibu sana kwa wale waliokuwa wanaiombea mabaya serikali ya CCM.
ukishatumia pesa kutengeneza mfumo wa haki katika utawala? anyway,leo mnamshabikia Mengi kamtoa Mhongo lakini siku si nyingi mtayaona mda ukifika ..ni fitina,chuki,unafiki,ghiriba dhidi ya watu
Alitaka kushindana na nguvu ya pesa sasa anakiona cha mtema kuni. Akitolewa tu utasikia Mengi kamegewa kipande cha gesi
Wala sitoshangaa JK asipomtimua Muhongo.Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania
Mnamshabikia Mengi kwa sababu hamumjui, ukimjua vizuri hutampenda hata kidogo.
Wenye moyo wataijenga hii nchi, wenye meno watatafuna tu akiwemo huyo Mengi wenu.
Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda
Hii ni aibu sana kwa wale waliokuwa wanaiombea mabaya serikali ya CCM.
Anachosema Muhongo ni sahihi kabisa.
Yeye bado ni waziri mpaka JK atakapoamua kumvua uwaziri na pia kuna uwezekano asimvue akaendelea kuwa waziri.
ha ha ha ha ha ha ha........jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni rais tu na siyo wahuni wa bungeni. Hawezi kubabaishwa na wahuni na wala rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale rais atakaposema basi...
Hapa dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba bunge limemvua madaraka ya uwaziri