Muhongo kamzidi 'ujanja' Magufuli?

"Paka la roho saba" ha ha ha ha hah,njoo inbox nikupe vocha jamaa angu.

Huyu Mramba hana kosa,kafuata sheria zote sema pala la roho saba ndo chanzo na linadunda tu mazee
 
"....In Africa there's no good or bad ministers, politicians are either president's friends or share same views with the President..."

D Ramsfield
 
Wewe hujui a thing kuhusu management
sio kazi ya waziri kutoa orders kwa taasisi za chini yake
na hasa hizo orders zinapokuwa zina back fire ...
Muhongo ni msanii tu.....anaejua kuwachota akili watu wenye uelewa mdogo
Watu wanashindwa kutofautisha elimu ya darasani (mfano :kujua aina za miamba hadi wajukuu zake) na uwezo wa kuongoza taasisi /wizara. Hivi ni vitu viwili tofauti!! PhD sio uongozi, ni elimu na uongozi sio elimu tu wakati mwingine huambatana na talanta!
 
Wewe acha kukimbia mada, umetajiwa mifano sasa unshakable kugeuza mifano Kuwait ndiyo mada? Khah!
 
Mimi Prof Muhongo ameokoa biashara yangu iliyotaka kufa kwa mgao mkali wa umeme baada ya kutoka Muhongo na kuja Simbachawene. Muhongo is my business hero, umeme haukatiki na Jenereta linapata kutu. Hapa ni end result ndio ina justify means
 
so umehama tigo na voda.. umekimbilia daily news now?? nimekuuliza swali hujajibu naona unahama hama tu.. hoja zinajengwa kwa facts sio kwa kuhama hama na kuruka ruka hili ukimbie swali..
We nimbishi usiekubali kueleweshwa unakomaa na mambo ya kitoto mwanzo nilikuelewa sasa katika mtiririko wa comment zako na kubaliana na the boss we ni mtupu hujui unachotetea
 
W
ewe unachokitetea hukijui. Muhongo mchango wake ni mdogo sana kwenye kazi za REA. Kazi kubwa inafanywa na Wizara ya Fedha kusaini mikataba ya fedha za REA na kutoa fedha za miradi ya REA chini ya usimamizi wa Makatibu Wakuu wa Wizara ya Madini waliopita. Muhongo ni mpenda sifa tu, anapenda kuokota mafanikio ya taasisi za Wizara yake na kujitangaza yeye ndio kachangia kumbe hakuna kitu. Hakuna Waziri fake kama Muhongo kama hujui. Simbachawene ni mzuri zaidi ya huyo Muhongo wako unayemtetea hapa kwa maslahi yako binafsi. Tuwe wakweli, Msema Kweli Mpenzi wa Mungu. Endeleeni na maigizo yenu ya kumsifia hapa mtu anayeendelea kuiua Wizara kwa kutafuta sifa binafsi.
 
1. Septemba 28 / 2016 alishiriki kikao kilichoshauri mabadiliko ya bei ya umeme kilichowashirikisha Tanesco na Benki ya dunia .
2. Septemba 30 /2016 aliiarifu kwa barua Wizara ya Fedha kuhusu uamuzi na mpango kazi uliofikiwa katika kikao hicho .

3. Desemba 30 / 2016 Ewura inatangaza bei mpya za umeme huku ikipandisha kwa 8.5%.

4. Desemba 31 / 2016 anasitisha uamuzi wa Ewura wa kupandisha bei ya umeme KWA MADAI KWAMBA HAKUSHIRIKISHWA.

5. Rais John Magufuli anatengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco , Felchesmi Mramba.
 

Huyu anacheza siasa za sasa kama Maradona.....
 
Ukielewa mdundo Huwezi Shindwa kucheza...
 
Nimekupa mifano ya Daily News na mashirika ya ndege
naona umekomaa na mfano mmoja tu
bottom line staff rates ipo dunia nzima...

Mabenki yanayo kwa riba
Tanesco sio first duniani ku practise hiyo policy
Mkuu kwa ishu ya airtime na staff rates unabishana as if unamfukuza chizi ....ukiendelea kumfukuza chizi watazamani tutakuona chizi pia. Ushauri tu usibishane na layman baada ya kugundua uelewa wake!

Sisi tunaoenjoy izo benefits tushakuelewa!

Ila vyovyote vile nilifurahia uamuzi wa kufuta service charge
 
Mh
 
Escrow na IPTL leo baada ya Muhongo kuondolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…