Muhongo atoroka!

Anaogopa kuwekwa lupango keko maana jamaa hawaeleweki

OvA
 
Inabd bungeni kuwe n utaratibu w kuitwa majina ili tujue wabunge watoro
 
kufanya nn sasa hata ubunge nahisi ataukacha kama yuleeee aliye sema anaachana na siasa uchwara
 
Yeye shida yake ni uwaziri, na ndio kitu kilichomfanya aache kazi huko South Africa (kama sijakosea) na kuja nchini ili apewe Wizara. Ubunge sio ishu kwake, ndio maana akiondolewa kwenye uwaziri, anaondoka bungeni. Na kama unavyomjua Muhongo alivyo na "jeuri ya elimu".
 
hawawezi chukuliwa hatua [*]nipashe ni chombo kikubwa cha habari [*]wamejiridhisha kutafuta ukweli ndiyomaana wamechapisha habari hii [*]katibu wa bunge amekiri kutoonekana kwa muhongo bungeni tena bila taarifa.
 
Hiki ni kiburi na dharau kwa Bunge.Lakinii,kwani Bunge halina sheria za kuweza kumwajibisha.Itakuwa ajabu sana kama halina.Huku ni kukosea wananchi wa Jimbo lake haki yao ya msingi ya kuwakilishwa.Awajibishwe.
 
Muhongo anajuta kurudi nchini angejua.......lakini ninge ange.....ni majuto mjukuuu!!!
Angepata wapi shamba lingine LA bibi? Hawezi kujuta hata kidogo! Sema kwa sasa inaelekea limepata mwenyewe! Ila watangulizi walijivunia sana na sasa wameachwa "wapumzike"!
 
Katika nduki maana asije akarukishwa kichurachura hapo kisutu......

OvA
 
Huyu jamaa husema nchi itatikisika akiachishwa uwaziri
 
Muhongo anajuta kurudi nchini angejua.......lakini ninge ange.....ni majuto mjukuuu!!!


Kwani Muhongo alikuwa nani huko nje ya nchi?

Muhongo hawezi kujuta kurudi nchini, hapa nyumbani alipata the best job he could ever dream of getting anywhere else in the world. Waziri na mbunge. Sio rahisi kwa mhamiaji kupata kazi nje huko yenye hadhi, malipo, na ma perks kama ya Mbunge Waziri wa Afrika. Na ukiipata itakuwa ina ma perfomance stress mpaka utatolewa!

Kama hampajui ughaibuni na jinsi wazungu wanavyomchulia mtu mweusi waulizeni diaspora wawaambie ni mtaalam gani Mtanzania huko nje ana kazi maalum ambayo wazungu wanamsujudia kwayo?

Eti ajutae kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…