Katika hali isiyo Ya Kawaida Waziri wa Nishati na MADINI Professor Muhongo ajikuta akipokewa kwa shangwe baada Ya wana CCM wa Kiabakari waliposimamisha Gari Yake na kutaka kumsalimi. Wananchi hao walikuwa wakiimba nyimbo na vigelegele wengi wakimwita MZEE WA MANGUZO, MZEE WA MANGUZO!!!!. Ambapo walimaanisha Mtu wa Kazi kwa Kuwa Nguzo za Umeme zipo karibu kila kijiji.
Mhe. Muhongo alitoa Mchango kwa wagombea wa Serikali za Mitaa ambao walikuwepo hapo wakati Mhe. Muhongo akipita. Aidha. Aliwaasa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu

nimepita tu. sampuli yako ni dhaifu.
Jamii ya watanzania tulio wengi bado tuna imani kubwa sana na Waziri Muhongo.
Hata wewe ukiwapa pesa za wizi watakukubali..Katika hali isiyo Ya Kawaida Waziri wa Nishati na MADINI Professor Muhongo ajikuta akipokewa kwa shangwe baada Ya wana CCM wa Kiabakari waliposimamisha Gari Yake na kutaka kumsalimi. Wananchi hao walikuwa wakiimba nyimbo na vigelegele wengi wakimwita MZEE WA MANGUZO, MZEE WA MANGUZO!!!!. Ambapo walimaanisha Mtu wa Kazi kwa Kuwa Nguzo za Umeme zipo karibu kila kijiji.
Mhe. Muhongo alitoa Mchango kwa wagombea wa Serikali za Mitaa ambao walikuwepo hapo wakati Mhe. Muhongo akipita. Aidha. Aliwaasa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu
labda jamii ya waongo wenzake ccm siyo watanzania hatuwezi kuwa na imani na mawaziri walioteuliwa na mtu dhaifuJamii ya watanzania tulio wengi bado tuna imani kubwa sana na Waziri Muhongo.
Katika hali isiyo Ya Kawaida Waziri wa Nishati na MADINI Professor Muhongo ajikuta akipokewa kwa shangwe baada Ya wana CCM wa Kiabakari waliposimamisha Gari Yake na kutaka kumsalimi. Wananchi hao walikuwa wakiimba nyimbo na vigelegele wengi wakimwita MZEE WA MANGUZO, MZEE WA MANGUZO!!!!. Ambapo walimaanisha Mtu wa Kazi kwa Kuwa Nguzo za Umeme zipo karibu kila kijiji.
Mhe. Muhongo alitoa Mchango kwa wagombea wa Serikali za Mitaa ambao walikuwepo hapo wakati Mhe. Muhongo akipita. Aidha. Aliwaasa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu
Na mimi nashangaa tangu lini shangwe yampumbavu ikawa kigezo
watanzania ndio mmekuwa wapumbavu kiasi hiki??