CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Hii ni nin?
Hii ni nin?
Napita tu...
Aiseee mi hua sielewi wengine wanasema eti inaongeza mzuka wa kwichi kwichi!!
Thread....
Please click this then you will see the changes
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
√ by #team0nline lazima ipenyeeeeeeeee
muhogo ule saa sita...then saa tisa ule kipande cha nazii...saa kumi na mbili gahawa na karanga mbichi saa moja na nususu bakuli ya supu ya pweza na nyama yake saa mbili na nusu redbuluuu tatu na nusu maji kubwaa....KUTAKUCHA KWELIIHabhari zenyu binafsi....
Kila kona nikipita nakutana na wanaume wanatafuna kipande cha muhogo hasa kikiwa kibichi.....
Wanawake wa siku hizi wala hawana haraka ya kutupitishia mihogo majumbani ili tupate vitafunwa bali huenda zao katikati ya mji na kuwauzia wanaume kijipande kidogo. Hana haraka ya kuuza muhogo mzima bali kajipande kadogo kadogo kwa bei mbaya....
Wanaumeee eeeh, hivi ni nini siri ya hiki kipande cha muhogo???
muhogo ule saa sita...then saa tisa ule kipande cha nazii...saa kumi na mbili gahawa na karanga mbichi saa moja na nususu bakuli ya supu ya pweza na nyama yake saa mbili na nusu redbuluuu tatu na nusu maji kubwaa....KUTAKUCHA KWELII