Muhitimu wa NIT ametimba na Mabodyguard kwenye mahafali!

Muhitimu wa NIT ametimba na Mabodyguard kwenye mahafali!

Kama anajiweza kiuchumi kufanya hivyo ni jambo jema. Unaweza kuta akitoka hapo ameandaliwa mchongo wa maana either biashara au kazi serikalini kwanini asifurahi.
Sii kila graduate akimaliza lazima ateseke mtaani kama wengi mnavyo comment hapo juu.
Kila mmoja ananjia yake kwenye haya maisha wewe pamoja na uzee wako huo siku moja anaweza kuja kukuinterview
 
Nikajua nimeona pekee angu, afu kingine naona wahitimu wa mwaka huu, km ni wakubwa, yaani kimuonekano.
Izo skafu wanavaa shingoni zina majina yao na kozi nikajua ni official kumbe wanashonesha mtaani? Chuo hakizitambui
 
Wahitimu wa vyuo mwaka huu wana heka heka sijapata kuona

Wana heka heka kama mashabiki wa Manchester United wakishinda game moja baada ya kufungwa games tatu mfululizo
Timu ya kutoa GG
 
Hapo bado hajahitimu amembakiza mmoja mwalimu dunia huku anamsubiria, akiwin na hapo basi ndo anahaki ya kuajiri bodyguard popote wamlinde.
 
Back
Top Bottom