Acha kuyajua ya baadae,hata Mimi nikipata hata 5M lazima nipite polisi niombe ulinzi, mara Moja Moja sio mbayaAkitoka hapo aje mtaani akutane na ticha zungu..
Huo mkwara anakupiga kwa walimu wake hapo chuoni au x wake
Huyo bodyguard mmoja ni mumbaji wa Bongo flavor Harmonize.Baada ya kupata degree kwa tabu, dogo ameona aje na wajomba wailinde degree yake. View attachment 3518811
Karibu mtaani kijana.
Mkuu yani 5M uwatembeze mapoti wetu wakulinde kweli sio haki sio sawa.Acha kuyajua ya baadae,hata Mimi nikipata hata 5M lazima nipite polisi niombe ulinzi, mara Moja Moja sio mbaya
Driz de MafweleWahitimu wa vyuo mwaka huu wana heka heka sijapata kuona
Wana heka heka kama mashabiki wa Manchester United wakishinda game moja baada ya kufungwa games tatu mfululizo
Mkuu ujue Sheria za nchi zinataka ukiwa na kiasi kuanzia 3M unaposafiri Toka point A kwenda B uko na hizo sasampa yakupasa uwe na ulinzi wa polisi.Mkuu yani 5M uwatembeze mapoti wetu wakulinde kweli sio haki sio sawa.
Dawa yake ni kuzibali ziwe digital money ili wazilinde wenyewe bila wewe kuingia gharama ya ulinzi na kuleta taharuki.Mkuu ujue Sheria za nchi zinataka ukiwa na kiasi kuanzia 3M unaposafiri Toka point A kwenda B uko na hizo sasampa yakupasa uwe na ulinzi wa polisi.
Mwalimu tena 😅😅😅aah kama hela anayo haina shida
Ila akishakuja huku tuliko sisi ndo atajua moto ukoje au sio mwalimu Harmful
Au ndo yule daktari wa ubepari pc wa unachotakiwa kufanya les du zis 😂😂😂😂Mwalimu tena 😅😅😅
Mkuu nina shahada ya udaktari kutoka IFM 😆😆😆
Man u imeingiaje hapaWahitimu wa vyuo mwaka huu wana heka heka sijapata kuona
Wana heka heka kama mashabiki wa Manchester United wakishinda game moja baada ya kufungwa games tatu mfululizo
Me ni copy yakeAu ndo yule daktari wa ubepari pc wa unachotakiwa kufanya les du zis 😂😂😂😂
Yule jamaa yupo vizuri nikipataga utulivu hua naingia kwenye page yake kuokota maarifa ya technology kwakeAu ndo yule daktari wa ubepari pc wa unachotakiwa kufanya les du zis 😂😂😂😂
Aaaaah aiseee noma sana niliumwaga utotoni hii nilikuwa sitamani kukojoa kabisa maaana mali ilikuwa inauma kama inataka kukatikqMe ni copy yake
Unaumwa UTI na unahitaji kupona les du Zis 😅😅😅
Eeeh mkuuu yule jamaaa yuko poa sana ijapokuwa zinginw huwa hazinisaidii mimu lakinj wengine zinawasaidia ni uhakika🔥Yule jamaa yupo vizuri nikipataga utulivu hua naingia kwenye page yake kuokota maarifa ya technology kwake
Kuna ile moja unakojoa damu mwishoni nilikutana nayo kwenye heka heka za utoto sio poaAaaaah aiseee noma sana niliumwaga utotoni hii nilikuwa sitamani kukojoa kabisa maaana mali ilikuwa inauma kama inataka kukatikq
Nikajua nimeona pekee angu, afu kingine naona wahitimu wa mwaka huu, km ni wakubwa, yaani kimuonekano.Wahitimu wa vyuo mwaka huu wana heka heka sijapata kuona
Wana heka heka kama mashabiki wa Manchester United wakishinda game moja baada ya kufungwa games tatu mfululizo