Muhindi kajichanganya leo, nimempa vidachi

Muhindi kajichanganya leo, nimempa vidachi

Kwanini ulipenda u padri kwaio hukutaka kua na familia 😁 ☺️ kwaio kwanini uliacha hiyo ndoto mkuu
nilikuwa naupenda tuu, hata kuwa na ndoto kama za udaktar sjui sikuwa nazo ndoto yangu ilikuwa kuwa padri,

Kisa ni wazazi kusema hamna kwenda sijui gharama nyingi mambo kibao, nilivurugwa sijawahi vurugwa kiasi kile,

Nikija kufanya mtihan Bendel Moshi imejaa, na hapo ada ni ghali kuliko seminary, nikaenda Arusha na shule moja inaitwa kilasara Ila the best nikachagua Arusha

Kwa sasa familia ndo chaguo langu, aseeh mambo ya upadri hapana

Yupo mdg wangu, mtoto wa baba angu mkubwa anahitimu falsafa kesho kutwa ready for formation au kuanza theology same applied kwa bruh wa Aunt yangu yeye yupo theology sasa, all the best kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom