Muhindi kajichanganya leo, nimempa vidachi

Muhindi kajichanganya leo, nimempa vidachi

Kaka kaka kaka.
😁

WAHINDI ni wajuaji Sanaa Sanaa afadhali WAHINDI wa Pakistani Ila 99.9 % ni wagumu Sana kuelewa na pia ujuaji ni mwingi mnoo.

Pia ni watu wa shortcut Sana Sana pia ni wanyonyaji Sana Cha KUSHANGAZA ni kujifanya ni WAISLAMU SANAA KUMPITA MTUME MOHAMED 🤓
Sasa ujuaji mbele ya kalaga baho? Mm mwemyewe much know. Akileta ngolowanje namuagizia bia namlipia nakazi naiacha simdai hata mia naenda kuchili geto na shisha
 
Muhindi akikupa kazi anakuangalia mpaka unavyoimaliza. Yni anakutaftia sababu tu
Watu Hatareee sanaa wa aina iyo Kuna jamaa mmoja alisimuliaga humu ALIENDA home kwa muhindi kutengeneza SIMU.

Jamaa akaleta ujuaji akiwa kaisambaza simu yaani kifungua jamaa kuona muhindi maelekezo mengi akakusanya tools AKAOMBA pesa ya nauli akawa anataka kutoka ikabidi muhindi awe mpole jamaa aka mwambia apunguze maelekezo mengi amwache afanye kazi 😁
 
Yeye anajua kama anakusaidia, huna pa kwenda. Wewe unabadili mind set yake hapohapo unamlipa yeye akatafte anaoamin wenye njaa, pumbav kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom