Muhindi kajichanganya leo, nimempa vidachi

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
11,362
Reaction score
25,906
Kwema? Wana jf hamjambo?

Kazi nyingine mabos... bosi kanipa kazi nipige skruu mbao kwenye dari dakika mbili namuaona yuko chini ananiangalia anaoana nafaidi sana.

Udenda tiriri anataka kazi aliyonipa aifanye yeye eti nakosea. Nikamuambia njoo juu huku. Kapanda ngazi na maneno kibao oh 'I can not pay someone for job i can do my self".. mm nikampa mashine amazing. Kapiga skruu tatu tu vipimo vimemgomea ananiita kuniomba ushauri wakati huo nishabadili nguo nataka nikakodi farasi bichi nikapigwe upepo

Na mm nikamjibu " I can not job with many many talk". Nikazama zangu bichi kula madafu na farasi wa kukodi.
 
Kaka kaka kaka.
😁

WAHINDI ni wajuaji Sanaa Sanaa afadhali WAHINDI wa Pakistani Ila 99.9 % ni wagumu Sana kuelewa na pia ujuaji ni mwingi mnoo.

Pia ni watu wa shortcut Sana Sana pia ni wanyonyaji Sana Cha KUSHANGAZA ni kujifanya ni WAISLAMU SANAA KUMPITA MTUME MOHAMED 🤓
 
Poa poa kabisa niko zangu bichi sahizi nakula upepo, muhindi alijua nafanya kazi pale kwa elfu 25 yake sina hela. Nimeacha kazi mbele yake nimekodi farasi elfu 30 mbele yake kwenda Lula nae bata
Muhindi huyo Iko puuzi Sana haina akili na niwa dhulumati wanao jificha kwenye dini ya kiislamu.

Hata iyo kazi imemshinda sababu ya ujuaji wao.. maelekezo mengi kumbe hawezi kazi..😁
 
Mkuu,
Una HASIRA na WAHINDI eeee.

Aisome Monetary doctor , secretarybird
washenzi sana wahindi Ila walikutana na mimi mchaga mbadi, 😂

Niliwahi kosea kutype EFD RECEIPT nikaona kabisa nikatoa,

sasa imefka kwao ni zero sales kapiga simu, nikamuuliza Ina shida gani EFD RECEIPT? Akaituma WhatsApp then akanipa maelekezo nifanye nn tukaelewana...

Kuna huyu wa kitumbini kutwa alikuwa ni kusema shusha zigo, mimi huyu ? Afu niwapangie

Namwambia nipe hela, na invoice hii hapa... Kushusha sio jukumu langu

walikoma,

Ila nachowapendea wapo straight kwenye kazi, akihitaji mzgo ukawa vzr aah mtapiga sana kazi.... Ishu ukosee aseeh kitaumana
 
Hatareee sanaa mkuu 🤓
 
Ndiyo wakoloni wa kileo hao
 
Afu wanajua kulia mbn expensive wakati ukienda maduka yao washenzi tuu 😂 😂
Wanatoka kwao maskini wa kutupa na nguo mkuu kuu...
After ten years kufanya kazi kwa walio mleta na yeye anafungua kampuni
Ila ujue bongo kutoboa ni rahisi Sana ukiwa na taarifa sahihi na connection ya maana
Sisi hatuitaji working permit kufanya kazi wao vibali vingi na wapo wanafanya kazi AMBAZO wabongo wanaweza fanya
Wanakuja kutajirikia hapa hapa nyumbani Tanzania 🤣 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom